Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,709
- 2,373
Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa tz kwa ujumla
mimi huyu hapa
mimi huyu hapa
Mkuu efm ni tv? Au unamaana etv?Adela tillya wa efm
Fatma Almas NyangasaWatangazaj wote wa Azam ndiio wanaongoza hapa danganyika. Na most of them wamitokia Star tv
- Baruan muhuza
- Yahya mohamed
- Kamuntu
- Fatma almas
- Rehema salum
- Nyamwihula
- Charles hilary