Hawa ndio Wamiliki wa Media za Clouds na Wasafi

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,737
7,683
Huyu Mwana mama anaitwa Juhayna Zaghalulu Ajmy ni Mke wa Joseph Kusaga

Josepg Kusaga - Clouds Media
Juhayna Zaghalulu - Wasafi View attachment 1441945
3.jpg
 
Kusaga safi sana... kaishi maisha ya kindoa yenye upendo na furaha toka ujana wake..

Watu wengi wenye uwezo wamelishindwa hili..

Ila siri ya kifanikiwa kwake nahisi ni kufuata principle ya kimjini.

Ukiwa mtoto wa tajiri oa ama olewa na mtoto wa tajiri mwenzako.. hapo hakuna kuchunana wala kuwekeana sumu mtu arithi mali
 
mondi kichwa alafu anakipaji sana.mpaka kuwekwa karibu na wadau muhimu kama kusaga & farmily sio mchezo.
wasanii wangapi hawakupewa shavu ila kamulikwa mondi.win win situation

Sent using Jamii Forums mobile app

Diamond ni genious wa kitaa in 10 yrs.. katoka street za tandale kula miguu ya kuku mpaka ubilionea.. si mchezo.. diamond anapigiwa simu hadi na rais jukwaani.. rais anasema wewe mwanaume
 
Diamond ni genious wa kitaa in 10 yrs.. katoka street za tandale kula miguu ya kuku mpaka ubilionea.. si mchezo.. diamond anapigiwa simu hadi na rais jukwaani.. rais anasema wewe mwanaume
alafu bado anausongo na mafanikio zaidi.
si ajabu kuna siku tutamuona white house ya stastes akifanya yake.
Afu bado tu kuna watu wanamlinganisha na vipiga filimbi vya kariakoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom