Kanye West atajwa kuwa Rapper wa pili kuwa bilionea baada ya Jay Z

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Kwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020.
kanye-west-sunday-service-coachella-announcement-1.jpg

Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West amesema unatokana na biashara yake ya viatu Yeezy sneakers.

Awali Kanye West aliwapa Forbes document zake zote za mauzo ya viatu, Na majumuisho yalikuwa ni Dola Bilioni $3.2 kabla ya makato yote kufanyika.

Kanye West anakuwa msanii wa pili wa Hip Hop kuwa Bilionea, Baada ya Jay-Z kutawala kwa muda mrefu.

Hata hivyo, Kanye West bado anadai kuwa yeye ni Bilionea tangu muda mrefu ila hakutaka kuwaanisha Forbes kwa kuwapa nyaraka za mauzo ya viatu vyake.

Kama utakumbuka, mwaka jana jarida la Forbes lilimtaja Kanye West kuwa ana utajiri wa ($890m), kitu ambacho kilimkasirisha Kanye na hakukiunga mkono kabisa kwani alisema yeye ni bilionea na ana utajiri wa ($3 billion)

Kwa mujibu wa taarifa mpya iliyotoka jana Ijumaa, Forbes wamempa Kanye hadhi ya Bilionea wakidai ana utajiri wa ($1.3 billion) ambazo ni zaidi ya Trilioni 3 za Kitanzania.
 
Kwa investment na mali zote kwa pamoja iwe kwa usanii au ujasiria mali Kanye west na 50 cent nani ana mkwanja zaidi?

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Messi ana 400 $million na ndiye mchezaji mwenye mkwanja mrefu

Waliokua wanasema wachezaji wanamkwanja kuliko wasanii wa muziki nadhani majibu mshapata
Faiq bolkiah unamuweka wap?!
Alafu tangu lini messi akawa tajiri kuliko ronaldo?

Kanye west ameanza carrier ya mziki mwaka gani na messi lini?

Swali la mwisho kanye west ana miaka mingapi na messi ana mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
50 hana mambo recently kabakia kuwa comedian wa IG kama Idris Sultan tu sina uhakika sana ila nadhani top 4 ina hawa Hov,Diddy,Kanye,Drake plus wazungu kibao waliopata utajiri nyuma ya pazia bila kushka mic mf Lyor Cohen
 
Kwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020.
kanye-west-sunday-service-coachella-announcement-1.jpg

Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West amesema unatokana na biashara yake ya viatu Yeezy sneakers.

Awali Kanye West aliwapa Forbes document zake zote za mauzo ya viatu, Na majumuisho yalikuwa ni Dola Bilioni $3.2 kabla ya makato yote kufanyika.

Kanye West anakuwa msanii wa pili wa Hip Hop kuwa Bilionea, Baada ya Jay-Z kutawala kwa muda mrefu.

Hata hivyo, Kanye West bado anadai kuwa yeye ni Bilionea tangu muda mrefu ila hakutaka kuwaanisha Forbes kwa kuwapa nyaraka za mauzo ya viatu vyake.

Kama utakumbuka, mwaka jana jarida la Forbes lilimtaja Kanye West kuwa ana utajiri wa ($890m), kitu ambacho kilimkasirisha Kanye na hakukiunga mkono kabisa kwani alisema yeye ni bilionea na ana utajiri wa ($3 billion)

Kwa mujibu wa taarifa mpya iliyotoka jana Ijumaa, Forbes wamempa Kanye hadhi ya Bilionea wakidai ana utajiri wa ($1.3 billion) ambazo ni zaidi ya Trilioni 3 za Kitanzania.
Kibongobongo ina maana Kanye easy kawazidi hadi MO na Rostam utajiri...Daaah maisha haya bhana

Th

The genious tycoon
 
Faiq bolkiah unamuweka wap?!
Alafu tangu lini messi akawa tajiri kuliko ronaldo?

Kanye west ameanza carrier ya mziki mwaka gani na messi lini?

Swali la mwisho kanye west ana miaka mingapi na messi ana mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utajiri haungalii umeanza lini, hata wewe ukiamua kuanza leo kupambana unaweza ukawapita walioanza kabla yako.
 
Faiq bolkiah unamuweka wap?!
Alafu tangu lini messi akawa tajiri kuliko ronaldo?

Kanye west ameanza carrier ya mziki mwaka gani na messi lini?

Swali la mwisho kanye west ana miaka mingapi na messi ana mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nazungumzia wasanii na wachezaji mpira we unanitajia mashehe?

Mashehe wanaingiaje hapa?

Halafu wapi nimesema nafanya comparison ya uzoefu kwenye game?

Weka data zako hapa tuone wachezaji ambao wanamkwanja kuzidi wasanii na sio kutaja majina ya masheikh
 
Messi ana 400 $million na ndiye mchezaji mwenye mkwanja mrefu

Waliokua wanasema wachezaji wanamkwanja kuliko wasanii wa muziki nadhani majibu mshapata

Tangu lini Mkude akawa na Pesa zaidi ya Platnumz.??
 
Back
Top Bottom