Baby Kabae ameondoka Clouds?

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,186
8,212
Toka Clouds Tv wamerudi toka kifungo cha wiki moja simuoni Baby Kabae na Sam Sasali katika kipindi chao cha asubuhi -- Clouds 360.

Je, wameondoshwa kwa maslahi ya umma?
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Ngoja waje Clouds wakusaidie, ila Sam Sasali yupo redio anasoma magazeti power breakfast.
Babra Hasan naye hajarudi power break fast.
 
Toka Clouds Tv wamerudi toka kifungo cha wiki moja simuoni Baby Kabae na Sam Sasali katika kipindi chao cha asubuhi -- Clouds 360.

Je, wameondoshwa kwa maslahi ya umma?
Atakuwepo maan siku waliporudi hewani kwenye ile party yao na vazi la usiku alikuwepo na akaambiwa yeye ndiye kavaa vazi zuri na ghali kuliko wote
 
Back
Top Bottom