Hiv karibuni Marioo ameuzishwa na kutaka kujinyonga kisa mapenzi. Na hii Ni baada ya kupost kitanzi bila caption na watu kutafsiri anajinyonga kumbe ametoa wimbo unahusiana na kicho kitanzi...
WCB (Wasafi Classic Baby) nadhani nikisema hivyo kila mtu anaelewa.
WCB nadhani kwa sasa ndio label iliyoshikilia industry ya Bongo Fleva hawa watu wako very Creative na Wanafikra yakinifu. Tena...
Sisi Wataalam wa Masuala ya Music tulitaadharisha mapema kuhusu ku-copy Copy oneni aibu inayomkuta huyu mwanamziki wenu aliyeishiwa Kabaki kubebwa na Vikolabo vyenyewe vya ku-copy 90%...
Kiukweli nimefadhaika sana baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Dada Mkuu, Komando na Malkia wa Bongo flava Lady Jaydee uitwao One Time. Humo ndani Jide anahamasisha uvutaji bangi hadharani, hasa...
Wasalaam wana Jamvi!
Baada ya mwana muziki bora kabisa Tanzania kumsifia mdogo wa mwanamuziki Vannesa Mdee hivi karibuni kwenye ukurasa wake wa instagram “ haka katoto nakapendaga basi tuu”...
Hivi karibuni kuna mtu anaijiita Tony Anton alifuta ngoma ya Cheche na akaifanya isipatikane YouTube kwa siku mbili, baada ya huo mkasa kutokea uongozi wa WCB kwenye department ya digital platform...
Baada ya Alikiba Kuachia nyimbo yake ya MEDIOCRE na kufanya mitandao yeye na Hasim wake kuwa Gumzo na kupelekea watu Kutafsiri kuwa Alikiba kamtupia Dongo Diamond na kufanya yule kijana wa...
Wasalaam wana jamvi....
Msanii Q-Chillah toka juzi hajulikani alipo na watu wakaribu yake wameshindwa kumpata hadi sasa si kwenye simu au uso kwa uso na hawana taarifa yeyote popote alipo...
Daaaaaah Habarini Wana jamvi...?
Kweli Kuna ule msemo unaosema kila zama na muda wake, leo ndio nimekubali huu msemo.
Nimejaribu kusikia wimbo wa huyu mzee wetu Alikiba nimeona kaishiwa kabisa...
Kampuni ya maziwa ya @TangaFresh leo Septemba 17, 2020, imeingia mkataba na msanii wa bongo fleva @mbosso_ kuwa balozi wa bidhaa za maziwa ya kampuni hiyo, kushoto kwenye picha ni Alex Chonge...
Mume wa msanii Alicia Keys, Swizz Beatz amelazimika kuingilia kati baada ya mashabiki wa Diamond Platnumz kumshambulia mke wake mtandaoni kwa kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake wa Wasted...
Team Kiba wote leo imekuwa siku yetu nzuri Baada ya Msanii wetu pendwa Ali Salehe Kiba kutunukiwa zawadi na Rais wetu Mpendwa Dkt. John Joseph Magufuli.
Mimi kama kijana na Mpenzi wa Muziki wa...
Soudy brown
Hanaga mambo ya Kiki Huyu Yuko naumbewa wake
Sam-Misago
Mwansishi wa habar popular
Mzeemkavu
Mzee wa shilawadu mnyaki hanaga Kiki za kijinga
Dullavan
Mchekeshaji....Hana...
Hiv karibuni wasafi FM ilifungiwa kutokana na kosa la Baba levo kuongea lugha fulani ambayo sio nzuri kwenye kipindi. Baada ya media kufungiwa boss wao Diamond Platnumz ndo kwanza akawapeleka...
Nakumbuka kwenye moja ya tukio niliona ukimuenzi Marehemu Dr Remmy. Hiyo ni sawa kabisa ila pia kwa upande mwingine kuna Marehemu Halila Tongolanga ambaye umerudia moja ya wimbo wake maarufu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.