Moja ya nyimbo zake zilizokonga wahenga ni ‘Two can play that game’.
Enzi hizo Janet Jackson alimpenda kweli Bobby na ni Whitney aliyebahatika kufunga ndoa na Bobby na walibarikiwa mtoto wa...
habarini
Kutoka vyanzo visivyo rasmi nasikia Dallas sahiv anaishi kwa kuomba omba samaki kwenye fukwe za ununio..
Ikumbukwe kuwa alimuhonga wolper BMW X6, plus 39 million Tshs (hapo bado...
Waswahili wanasema mwanakulitafuta mwanakulipata.
Baada ya kusikia kwamba Mbosso anaachia EP yake siku ya Ijumaa tarehe 28, October. Basi kama kawaida mzee wa kuvizia upepo ili abaki kuwa...
Mwanamitindo wa kike maarufu nchini Israeli YAEN COHEL miaka 25 ameilalamikia kampuni Moja ya kichina iliyozalisha midoli ya ngono yenye kufanana sura,umbo na kila kitu na yeye uku akiishutumu...
Uumbaji wa Mungu ni binadamu kupitia madaraja kadhaa ya maisha kabla ya kidogo. Utopia, ujanani na uzee ni madaraja tunayopitia binadamu. Wengine hufariki wakiwa watoto, vijana na kuna...
NI KISASI AU CHUKI...?
"Tulisikia yowe kisha kishindo kikubwa, duuuuf. Baada ya hapo ilisikika sauti ya mwanaume ikipayuka." Ndivyo mashahidi walivyolielezea tukio la kifo cha Anele 'Nelli'...
Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara...
Nelli Tembe alikuwa Mchumba wa AKA, alifariki August 2021. Kabla ya kifo chake alikuwa Hotelini na AKA. INADAIWA ALIKUFA BAADA YA KUJIRUSHA CHINI KUTOKA GHOROFANI.
Baba wa Nelli Tembe Ni mtu...
Mimi nikiwa kama mdau wa viwanja vya starehe vya usiku, nimekuwa nikikutana na supastaa wa Tanzania, Hasheem Thabeet, ambaye anacheza mpira wa kikapu wa kulipwa huko Marekani.
Wadau wa Arusha...
Hongera sana kwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kufanikisha jambo kubwa la kutoa mikopo kwa Wasanii wa Tanzania.
Ni jambo la kumpongeza Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
[emoji3516]
Mwaka2002 Mwisho Mwampamba wa Moro alikua mtanzania wa kwanza kushinda shindano la Big Brother Afrika kule kwa Madiba na aliporudi kwetu Morogoro akafanyiwa mapokezi makubwa ya...
Nafikiri ni nature tu vitu viwili vinavyovyutana huvuma saana
Kanumba na Ray Kigosi walivuma saana kwenye bongo movie, sio kwa sababu walikuwa bora saana ila ushindani uliokwepo, Mwenyezi Mungu...
wasomi wote wa Cuba tuonane hapa
Yule mwanamke alijipanga maana nimeona tamaa za wazi kisa kale kajumba ndio analeta vilio na unafiki mitandaoni
salute kwa wasomi wa CUBA .
Aisee hii show ya grammys mwaka huu hatari. Miamba kadhaa ya Rap stage moja huku jay z akishuka verse yake ya karibu dkk 5 kwenye God did.
Jionee mwenyewe hapa chini
Aliyekuwa mke wa Manara inadaiwa alimuibia semaji la wananchi dola za kimarekani elfu kumi na saba karibu million arobaini hivi za kitanzania na kumpa bwana wake wa Kinigeria.
Inadaiwa huo...
Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views...
WagwaNiiiiiii
Ebhna simba mwenyewe chibu deee aka baba zuchu hiki kichupa alichoachia katuonesha kuwa bado ana uwezo wa kuendelea kutawala mziki wa bongo kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa anataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.