Yaen Cohel ashangazwa na Wachina kutengeneza mdoli wa ngono wa kufanana nayeye bila idhini yake

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,495
99,286
Mwanamitindo wa kike maarufu nchini Israeli YAEN COHEL miaka 25 ameilalamikia kampuni Moja ya kichina iliyozalisha midoli ya ngono yenye kufanana sura,umbo na kila kitu na yeye uku akiishutumu kutumia picha na video zake mbalimbali kutoka kwenye account Yake ya Instagram yenye wafuasi million 1.5.

Yaen amedai kwamba alishtushwa na msemo wa mashabiki ake kila akipost video kua Ni "mtamu Sana". Amedai kua Hadi baadhi ya mashabiki wamekua wakivalisha midoli hiyo nguo zenye kufanana na za kwake na wengine kuweka uchi mdoli huo kwny account Yake ya Instagram.

Anadai kwamba alipofatilia aligundua midoli hiyo ya ngono inasambazwa na kampuni yenye domain ya kichina ambayo imekua ikiuza midoli hiyo kwa wingi kupitia mtandao wa dark web na Alibaba na mashabiki wengi wameshauziwa mdoli yenye kufanana na yeye kwa Dolla za kimarekani 1,500-2,000 bila idhini yake Wala yeye kufaidika chochote kwenye hiyo biashara.

Source: magazeti ya latesty,dailymail, daily star
2023-01-04-17-45-53.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mdoli ni wa kununua kwa gharama yoyote kuwa nae ndani. Anakuwa kwenye kabati.

Mama J akileta fyoko fyoko, siongei nae wiki nzima. Natandika kagoro kadogo chini naweka mdoli wangu naanza kupeana utamu. Tunajifunika katika shuka hakuna kitu ataona. Hadi aniombe msamaha kwa kuniletea mapozi ya kunivuruga akili ndio nalirudisha kabatini.
 
Huyu mdoli ni wa kununua kwa gharama yoyote kuwa nae ndani. Anakuwa kwenye kabati.

Mama J akileta fyoko fyoko, siongei nae wiki nzima. Natandika kagoro kadogo chini naweka mdoli wangu naanza kupeana utamu. Tunajifunika katika shuka hakuna kitu ataona. Hadi naiombe msamaha ndio nalirudisha kabatini.
images-512.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom