NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,853
Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views milioni 1 chini ya dakika 1 kwa kila msanii lakini wakaja kuumbuka.
Diamond kaweka rekodi ya ngoma ya pili mfululizo kuweza kufikisha views milioni chini ya masaa 24.
Diamond kaamua abadili gia angani kuimba mafundisho, ushauri na mambo yanayohusu kuvumiliana, matumaini, maisha halisi n.k. hata kama ni mapenzi anagonga pale kwenye shida wanazopitia wengi na kuwapa moyo, sio kujitutumua kwamba ni sukari ya warembo, vumbi la mkongo, n.k.
aina ya wimbo anoimba kwa sasa hata watu wenye maadili wanasikiliza, ni muziki unaopendwa lakini wasanii wachache wenye majina makubwa wanaopata airtime wanaufanya, Diamond kaamua kucheza na soko hapa.
YATAPITA
ZUWENA