Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kupitia Ukurasa wa Instagram (Insta-Story) Wa Star Muziki Africa Na C.E.O Wa Label Ya "WCB Wasafi" SIMBA [emoji881] diamondplatnumz [emoji881] Ame-Share Picha Iliyoonesha Mkataba Kwa Ufupi...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Poleni na majukumu, Njooni tujadili hapa kidogo. At their peaks, Kati ya JAY MOE Na FID Q. Nani ni hatari zaidi? Karibuni... #forgive me
2 Reactions
143 Replies
10K Views
Kiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao. Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni...
16 Reactions
99 Replies
10K Views
Huu mtandao tumeuvamia kwa mbele hasa kwa wasanii wetu wa afrika specifically hapa bongo. Tunawafaidisha zaidi wao kuliko tunavyofaidika sisi. Yani msanii unajitapa video yangu ipo namba 1...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Naandaa uzi maalumu kwaajiri ya wapenzi wa muvi kali za hawa jamaa wa hip hop jina tajwa hapo juu wanaopatikana You tube ................................................................
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ndiyo my Summary ya ALICHOKISEMA Mke wa zamani wa Haji Manara leo na Press yake: 1. Sina mpango wa Kuolewa kwa sasa. 2. Sina Mahusiano na Harmonize, ni Rafiki Yangu tu, 3. Story zote za...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel. Je Haji anachapiwa? Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume...
70 Reactions
498 Replies
64K Views
Mkuu, Lemutuz aisee mungu akuwekee sana msaada wako unaotoa kwa jamii hautaweza kusahaulika unafanya mambo makubwa sana kwenye japo watu wengi hawauoni au ni husuda za watu wenye vijiba vya roho...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Amkeni Amkeniiii 🗣 inasemekana eti hao jamaa wanataka kusepa CMG chanzo chake hakijafaamika Habari kamili punde itawajia. Stay tuned
2 Reactions
27 Replies
10K Views
- Cheki anazinguliwa na boss mjapan Gotojo Naguteka - Cheki anakula msoto na ngalawa Bagamoyo - Cheki anahenya na rumbesa mitaa ya Buguruni malapa - Mvua ikinyesha Tandu wanatambaa hadi...
14 Reactions
51 Replies
6K Views
Kama msela una kijasho basi watoto wazuri kama Tanasha utawala kwa macho. Wanapenda wanaume wasafi wanaonukia vizuri. Kama una kikwapa tafuta wa kufanana nae.
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Bosi wa WCB Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz amejipatia mnyama aina ya nyoka wa kuweka nyumbani. Katika tangazo lake kwenye Instagram, mwanamuziki huyo alibainisha kuwa siku zote...
10 Reactions
103 Replies
8K Views
Mungu amemchukua mapema sana msanii H Mbizo alitamba na wimbo wake wa Nilonge Nisilonge Account ya instagram ya msanii riyama ally imeandika ============== Msanii wa muziki wa kizazi kipya...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu, Naona trend ya matukio makubwa ya muziki ya wasanii wengi wanaofanya vizuri zama hizi hasa wanapozindua albums zao wanafanikiwa kufanya matukio makubwa lakini weakness kubwa ni wengi...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
..
1 Reactions
51 Replies
15K Views
Wakuu Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae...
23 Reactions
447 Replies
43K Views
Habari za Jioni. Kuna clips zinasambaa mtandaoni zinazohusiana na kipindi kipya cha Wasafi Fm na Tv walichoanzisha chenye jina la Best Presenter. Hili shindano lina mapungufu mengi sana naomba...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
1. Martin Kadinda Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga picha na warembo tofauti tofauti , ila haijawahi...
2 Reactions
290 Replies
92K Views
Jamani wanajamvi nisaidieni mwenye taarifa kuhusu alipo Basila Mwanukuzi, yule demu aliyewahi kushinda Miss Tanzania miaka ya tisini mwishoni yuko wapi kwa sasa na anafanya nini???
0 Reactions
19 Replies
14K Views
Back
Top Bottom