Tetesi: Vifo vya Nelli tembe na AKA

Itscharlie

JF-Expert Member
Apr 15, 2022
3,794
15,763
Nelli Tembe alikuwa Mchumba wa AKA, alifariki August 2021. Kabla ya kifo chake alikuwa Hotelini na AKA. INADAIWA ALIKUFA BAADA YA KUJIRUSHA CHINI KUTOKA GHOROFANI.

Baba wa Nelli Tembe Ni mtu mwenye pesa, inadaiwa anaishi Durban (Jiji ambalo AKA ameuawa jana), Baada ya Kifo cha...


Mwanae wa kike, baba Huyo alikana kabisa kwamba mtoto wake hawezi kujiua kama wengi wanavyodai kwamba alijitupa Ghorofani, aliamini kuna mtu amehusika. PICHA LIKAANZIA HAPA.

Kwa maana hiyo Baba wa Nelli Tembe alikuwa anahisi AKA alimuua huyo binti either kwa Bahati mbaya au kukusudia, hivyo ili kufuta ushahidi akamtupa chini.

By the way hata kama hakumtupa, lakini Demu alijitupa kwa sababu ya Stress za Mapenzi dhidi ya AKA maana Usiku aligombana na AKA then asubuhi inasemekana akajitupa Chini. Kiukweli mpaka leo hii hakuna mwenye Jibu la uhakika......

kwamba Mchumba wa AKA alifariki vipi, Wengi wanamtuhumu AKA wengine pia wanadai Mwanamke alijiua Mwenyewe. UKWELI ANAUJUA AKA.

Hatimae Jana Usiku AKA AMEUAWA kwa kupigwa Risasi sita. JE, HAMUONI KAMA MAUAJI YAKE YANA CONNECTION NA KIFO CHA MCHUMBA WAKE KILICHOTOKEA MWAKA MMOJA.

NA NUSU NYUMA?

HUENDA WALIPANGA KUMUUA SOON AFTER HIS GIRLFRIEND'S DEATH, ILA WAKAONA WATASHITUKIWA, HIVYO WAKASUBIRI WATU WASAHAU KIDOGO.

From twitter.
 
Ukweli ni kwamba kifo Cha jamaa ni pay back Sasa kama ni kutoka ukweni kwake au makundi mengine yametake advantage ya jamaa kuwa Durban wakijua kabisa wakiua basi msala utaenda ukweni haijulikani ila ni pay back na kwa metro police walivyo hawatajichosha watakuja na majibu mepesi mno
 
Aliyekufa amekufa.

Sisi sote itakuwa hivyo kwa tutakaougua na kufa watabaki kusema alilogwa utasikia.... Saint Anno II siyo wa kufia usingizini yule wamemloga mimi yule jamaa namjua but still kwamba kilinikuta nini mpaka nikafa nitakuwa nakijua mwenyewe.
yah !!"struggling to overcome challenges kwa binadamu inamfanya apitie matukio mengi sana. SASA IKITOKEA AMEKUFA TU,IMPACTS ZA STRUGGLING ZINAANZA KUHUSISHWA NA KIFO CHAKE.
 
There's never enough when it comes to life. Just can't get enough of it!

Niko nasikiliza Baddest hapa, baada ya all eyes on me. Some good music.

Godly ft run jozi
Baddest
All eyes on me
Special fimi coce studio africa
Dont bother
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom