E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa.
Kwa wale...
Hello bosses and roses,
Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya.
Nimeona cover ya Roho (christian...
Aiseeee... sikujua kama huyu manzi ni wa kienyeji, hio shanga aliovaa hapo chini si kama hizi hizi za kina mwajuma na maimuna wa mbagala rangi tatu.
Mwamba curry itakua anaenjoy sana ile michezo...
Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee.
Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba...
Brother, Dj Steve B, Dj Skills Djstevebtz anaumwa, anasumbuliwa na maradhi ya figo.
Tumuombee kwa Mungu brother ainuke tena. Tumkumbuke kwenye sala na dua na tuombee wagonjwa wote pia.
Wasanii wote wanalilia kushindana/kushindanishwa na Diamond. Tangu enzi za kina Marlaw na Belli 9 mpaka sasa madogo kina Chino wanaman Konde Boy. Bila kusahau Ali Kiba.
Je, kuna manufaa yoyote...
Watanzania tuna cha kujifunza, huwa tunasikia watu wanasema "Niko tayari kufa", "Niko tayari kufanya lolote".
Mabadiliko ni process ambayo hutakiwi kuibeba peke yako, ni zao la jamii kwa ujumla...
Wazee wazee wazee, recently hizo bizness kaachia chuma ambacho ndani yake kuna wakali kibao wa hip hop waliotupia verse zao.
Versa ya kwanza kabisa unakutana na one the incredible akiwa kafanya...
Bado natafuta collabo kali zaidi ya hii KILA SIKU ya Nikki Mbishi,Godzilla,One na Belle 9.
Kuna Collabo yoyote kutokea tamaduni music inaweza kuwa zaidi ya hii?
Nikki kaumiza...Zizi...
Huyu jamaa anaeitwa Christopher Martin msanii wa dancehall pamoja raggae kutoka Jamaica hana mshindani
Huyu janja ana mikwaju ya moto sana since way back, mikwaju yake Kama:-i, Cheaters prayer
ii...
Cloud amefariki dunia akiwa na miaka 25 kwa kile kilichoelezwa na familia kuwa ni tatizo la Afya ya Akili ikiwa ni wiki 1 tangu atoke kwenye mazishi ya baba yake mzazi.
Kupitia tamthilia za...
Wimbo wa Ney wa Mitego 'AMKENI' ukiwa unachanja mbuga za YouTube, Msanii Nikki Mbishi nae ametubariki na wimbo alioupa jina 'KATIBA MPYA', sikiliza toa maoni yako.
Mwanamuziki huyo wa Nigeria anakuwa msanii wa kwanza kupata Tuzo ya Bilioni ya BRIT inayotolewa kwa Wasanii ambao wamepata zaidi ya mitiririko (streams) ya kidijitali bilioni moja Nchini...
"Ongea na Mwanaoo sema naye, sikio lako ligawe..
Mfungulie account ya busara na nidham, na siyo account ya mtandao Instagram"
Anaitwa Maalim Nash.
-Kaveli-
Mwanamuziki machachari ambaye aliuza nyago sana kwenye kipindi cha daladala(kipindi cha daniel kijo na bi kiroboto) na pia anauza nyago kwenye Mini-Buzz Toa Hoojaa,Ameachia wimbo wake unaitwa...
Kwenye zile ngoma kali za HIP HOP zenye michano ya kiwango. Chorus akikaa nani inakuwa moto zaidi. Kati ya BEN POL NA BELLE 9.
Yupi anapiga sana Chorus kwenye ngoma za Hip Hop...
Nani zaidi?
Hivi Marioo na Paula mwenyewe hujiskiaje wanapokuwa wakiona utupu wa mzazi (mkwe)?
[emoji116]Hii ni picha mpya aliyochapisha muigizaji Kajala Masanja au mama mzazi wa Paula,Nadhani ifike muda...
Huu wimbo wake alioutoa juzi unaimbwa kila mahali, hata kama huupendi utajikuta tu unausikiliza kila unapoenda,
Ukiamka unaskia jirani anaupiga
Ukitoka nje unakutana nao kwenye maduka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.