warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Paul peter siniga,maarufu kama Rio paul, ni kijana wa kipekee kutoka Tanzania, anayewakilisha Vijana kwenye mkutano wa Umoja wa mataifa (UN) unaofanyika marekani,Newyork. Kijana huyo pia ambaye ni mwanamitindo yupo nchini marekani akihudhuria show kubwa ambapo waliudhuria mastaa mbali mbali wa nchini humo, rio pia ni balozi wa makampuni mbali mbali nchini ikiwemo Tanzanite,balozi wa amani akitetea haki juu ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii na mambo ya maendeleo.
Rio ni kijana ambaye anahusishwa pia kwenye scandal ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ,swali ni je? kutokana na operation ya bwana hamis na paul makonda ya kutokomeza ushoga nchini, hyu kijana atasalimika?, rio amekua akiwakilisha Tanzania kwenye nchi mbali mbali duniani ,nakumbuka hata mwaka jana au juzi alialikwa pia bungeni.