Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kupitia mtandao wa Twitter Sugu ameandika kuwa katika maandamano ya hapo jana ameweka rekodi ya Dunia kama muandamanaji aliye vaa vito vya thamani zaidi,na kwamba rekodi...
Imenibidi nilete ubishani huu huku jukwaani kwani hii inaweza kuwafanya vijana wafanye kazi na kujituma na kuweza kujipatia Fedha nyingi nao wakatambulika na kuheshimika kama watu Hawa.
Tulikuwa...
Adam Mchomvu ni moja kati ya majina makubwa na yenye athari chanya katika muziki wa Tanzania hususani Bongo Fleva!
Amewapa mashavu wana kibao na wanakiri kuwa uwepo wa Adam ulirahisha safari zao...
Zuchu nilikuwa nakaonaga katoto ka 2000 tu kumbe ajuza wa kwenda, sasa hapa mbona kama team ya WCB imefeli pakubwa maana kwa umri wa Zuchu hata akichuana na Tyla hatoboi hata kidogo, age imeenda...
Sina shaka na uwezo wa Chid Benz. Kwenye Greatest rappers wangu wa muda wote anachukua namba 5.
Wengi wanasema Collabo yoyote akiwemo Chid Benz hawezi kufunikwa kamwe.(Hapa nakataa kidogo)
1...
Diamond Platinumz msanii namba moja Africa ni zaidi ya msanii.
Mimi namuita mwanamapinduzi au kwa kilami wanasema game changer na anaendelea kulionesha ilo kwa vitendo.
Jambo lolote ambalo...
BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume...
Kajol Mukherjee ni mwigizaji maarufu wa filamu wa India, aliyezaliwa mnamo mwaka 1974 August 5 huko Mumbai Maharashtra India.
Kajol ni wa pili kuzaliwa kwenye familia yao wa kwanza ni Rani...
Jina lake kamili anaitwa Hrithik Rakesh Roshan ni mtoto wa pili kuzaliwa na mtayarishaji,muongozaji na muandishi wa filamu Rakesh Roshan (baba) na Pinky Roshan (mama).
Hrithik Roshan ni mtoto wa...
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BangBros Bwana. Daler Mehndi amesema wanania ya kumburuza mahakamani aliyekua mfanyakazi wao wa zamani MIA KHALIFA kwa kusema uongo na upotoshaji kua alitengeneza...
According to fortune, for the first time in more than nine months Elon Musk is no longer the world's richest person.
Musk lost his position a top the Bloomberg billionaires index to Jeff Bezos...
Amezaliwa Louisiana, USA mwaka 1991, Alifungwa Jela kwa kumuuwa Mama yake Dee Dee Blanchard mwaka 2016 kwa msaada wa mchumba wake Nick Godejohn.
Gypsy( Binti) na Nick walikutana mtaandaoni kwenye...
Nimeisikiliza na kuiangalia nyimbo ya Mapozi nimegundua haina mvuto hata kidogo. Inabebwa na ukubwa wa Diamond, yaani hata leo Diamond aimbe maua mazuri yapendeza ukiyatazama yana rangi...
Habari wadau,
Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake.
Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25.
Nikawaza huyu jamaa ni maskini...
Nampa pole mdogo wangu Zuchu maana kila kona linapotajwa jina lake ni matusi, duwa mbaya na maneno ya wivu. Umaarufu na mafanikio ya kimuziki ndio chanzo cha yote. Na zaidi wenzangu roho zinawauma...
Habari za Jumapili wanandugu,
Niende kwenye swali hapo juu. Miaka ya nyuma ama takribani miaka kumi imepita sasa, alikuwepo msanii wa nyimbo za injili Beatrice Muhone.Alikuwa na nyimbo nzuri...