Mfahamu muigizaji Kajol

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,427
21,118
Kajol Mukherjee ni mwigizaji maarufu wa filamu wa India, aliyezaliwa mnamo mwaka 1974 August 5 huko Mumbai Maharashtra India.

Kajol ni wa pili kuzaliwa kwenye familia yao wa kwanza ni Rani Mukherjee ,mdogo wao anaitwa Tanisha Mukherjee.

Wazazi wao ni Tanuja Samarth(Mama) ambaye pia alikuwa muigizaji na Shomu Mukherjee (Baba) ambaye alikuwa mtayarishaji wa filamu.

Kajol aliolewa mwaka 1999 na muigizaji Ajay Devgan na wamebahatika kupata watoto wawili , wakike anaitwa Nysa Devgan aliyezaliwa mwaka 2003 na wa kiume anaitwa Yug Devgan aliyezaliwa mwaka 2010.

Ajay na Kajol ni miongoni mwa couple zenye faragha sana ,Yani ni wasiri sana kwenye mambo .

Filamu ya kwanza ya Kajol ilikuwa "๐˜ฝ๐™š๐™ ๐™๐™ช๐™™๐™ž" iliyotolewa mnamo 1992. Ingawa filamu hiyo haikufanikiwa sana, Lakini uigizaji wa Kajol uliwavutia watu walio katika tasnia ya filamu. Kajol amefanikiwa sana katika tasnia ya filamu ya India na ameendelea kuwa moja wa waigizaji wachache wa kike wa Bollywood ambao wameweza kujenga kazi ya mafanikio na kudumisha umaarufu kwa miongo kadhaa. Yeye ni maarufu kwa uigizaji wake wa kuvutia, kiburi chake, na utu wake wa kipekee.

๐™Ž๐™๐™–๐™ ๐™๐™ช๐™ ๐™ ๐™†๐™๐™–๐™ฃ ndiyo muigizaji aliyefanya naye kazi zake nyingi maarufu na kubwa hivyo wamekuwa marafiki wakubwa sana.

Kajol ameshinda tuzo nyingi za filamu, ikiwa ni pamoja na Tuzo ya Filmfare. Baadhi ya filamu zake maarufu ni pamoja na "๐˜ฝ๐™–๐™–๐™ฏ๐™ž๐™œ๐™–๐™ง" (1993), "๐™”๐™š๐™ ๐˜ฟ๐™ž๐™ก๐™ก๐™–๐™œ๐™ž" (1994), "๐™๐™–๐™ฃ๐™–๐™–" (2006), "๐˜ฟ๐™ž๐™ก๐™ฌ๐™–๐™ก๐™š ๐˜ฟ๐™ช๐™ก๐™๐™–๐™ฃ๐™ž๐™– ๐™‡๐™š ๐™…๐™–๐™ฎ๐™š๐™ฃ๐™œ๐™š" (1995), "๐™‚๐™ช๐™ฅ๐™ฉ๐™–" (1997), "๐™ƒ๐™–๐™ข๐™š๐™จ๐™๐™–๐™–" (1997), "๐™†๐™ช๐™˜๐™ ๐™†๐™ช๐™˜๐™ ๐™ƒ๐™ค๐™ฉ๐™– ๐™ƒ๐™–๐™ž" (1998), "๐˜ฟ๐™ž๐™ก ๐™†๐™ฎ๐™– ๐™†๐™–๐™ง๐™š" (1999), "๐™†๐™–๐™—๐™๐™ž ๐™†๐™๐™ช๐™จ๐™๐™ž ๐™†๐™–๐™—๐™๐™ž๐™š ๐™‚๐™๐™–๐™ข" (2001) ๐™ฃ๐™– "๐™’๐™š ๐˜ผ๐™ง๐™š ๐™๐™–๐™ข๐™ž๐™ก๐™ฎ" (2010).

Kabla ya kuwa na Ajay Devgan, Kajol alishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Akshay Kumar.

-210012445.jpg
2011638890.jpg
-475127531.jpg
 
Ajay si alikuwa anagombea demu na sunny deol ,nilisikia eti walipigana kabisa .

Na demu alikuja kuolewa na sunny deol.
Hapana ..
Alinyang'anywa Karishma Kapoor na Salman Khan...baadae Salman akampiga chini Karishma akaenda beba Aishwarya Rai... Aishwarya Rai nae akampiga chini Salman akaenda chukuliwa na jamaa underground alikuwa anaitwa Oberoi something baadae akampiga chini huyo Oberei akaja olewa na mtoto wa Amitabh Bachan....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom