Mapozi haivutii kabisa sema tu inabebwa na ukubwa wa Diamond

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,342
4,801
Nimeisikiliza na kuiangalia nyimbo ya Mapozi nimegundua haina mvuto hata kidogo. Inabebwa na ukubwa wa Diamond, yaani hata leo Diamond aimbe maua mazuri yapendeza ukiyatazama yana rangi nzuri...... nina uhakika itaongoza ku trend kuliko nyimbo za wasanii wengine.

KIMSINGI NYIMBO YA Dah iliyoimbwa na Nandy ft Kiba ndio nyimbo bora sana mwaka huu kuliko ya msinii mwingine
 
_20240218_133417.JPG
 
Haina ladha kabisaa, wimbo wa mapozi ulikuwa na maana ukiskiliza verse zake blue mwenyewe wakati huo afu sie tuliokuwa tukitongozwa ukipewa dedication ya mapozi dah adi mwili unasisimka😄😄
 
Nimeisikiliza na kuiangalia nyimbo ya Mapozi nimegundua haina mvuto hata kidogo. Inabebwa na ukubwa wa Diamond, yaani hata leo Diamond aimbe maua mazuri yapendeza ukiyatazama yana rangi nzuri...... nina uhakika itaongoza ku trend kuliko nyimbo za wasanii wengine.

KIMSINGI NYIMBO YA Dah iliyoimbwa na Nandy ft Kiba ndio nyimbo bora sana mwaka huu kuliko ya msinii mwingine
Kweli mi WCB lialia ila mapozi hapana wameimba kifala imepoa sana haina mzuka
 
ngoma kali sana ile ngoma ya kiba na nandi ndio ngoma ya kifala wamebebwa na mapoz lakin kaisikie tena nymbo yao n ya kawaida mnoo
 
Nimeisikiliza na kuiangalia nyimbo ya Mapozi nimegundua haina mvuto hata kidogo. Inabebwa na ukubwa wa Diamond, yaani hata leo Diamond aimbe maua mazuri yapendeza ukiyatazama yana rangi nzuri...... nina uhakika itaongoza ku trend kuliko nyimbo za wasanii wengine.

KIMSINGI NYIMBO YA Dah iliyoimbwa na Nandy ft Kiba ndio nyimbo bora sana mwaka huu kuliko ya msinii mwingine
Content ni nzuri ada sijui lakini mapozi napenda
 
kuna kitu hapa cha kujifunza mashabiki wa alikiba kila mond na kiba wakitoa nyimbo hua mnadai kiba ndo kaua lakin baada ya muda mauzo ya nyimbo za huyo alieuwa ndio yanakua chini? why? mfano ilipotoka zilipendwa na seduce me watu walidai kiba kauwa lakin mtaan watot waliimba sana zilipendwa boda boda zilipiga sana zilipendwa hata afande sele kuna maneno alisema kuhusu hilo?

binafsi nadhan mnampambanisha alikiba na diamond kwenye sauti ndo maana kila mara mnahis yy tu ndo kauwa kwenye sauti hilo halina mjadala kiba hata aseme yoooo lazma atampita diamond lakin kwenye kutengeneza nyimbo zinazoweka holdlines nyingi na kurudisha kipato mm nahis hapa alikiba hamuwez diamond.

alikiba ni msanii mzuri sana ila ukubwa hauji kwa uzuri tu kuna vitu vingi vya kumfanya msanii kua mkubwa hiv nahis alikiba hana au kama anavyo basi sio kwa asilimia kubwa sana kama alivyonavyo diamond

unaweza beza lakin mzik wa diamond umeajili watu wengi sana kuliko mziki wa alikiba sio rahis kuajili watu wengi kiasi hiko kwa kutoa nyimbo mbaya na za kawaida

kipaji cha kuimba anacho alikiba ila usanii sio kipaji tu na juhudi na ubunifu hivyo kiusanii kwangu mm naona diamond yuko mbali sana na alikiba japo kiba anakipaj kumzid
 
Back
Top Bottom