Zuchu kumbe ana miaka 30

wanzzuki

Member
Feb 27, 2024
66
129
Zuchu nilikuwa nakaonaga katoto ka 2000 tu kumbe ajuza wa kwenda, sasa hapa mbona kama team ya WCB imefeli pakubwa maana kwa umri wa Zuchu hata akichuana na Tyla hatoboi hata kidogo, age imeenda hata kasi yake ya kufikiri jumbe za kueleweka lazima iende low kadri umri unavyopanda.

WCB ni label kubwa sana watuletee katoto ka 2000 ambaye damu bado changa aweze kukimbizana na musician wengine worldwide.

Ni mtazamo tu
 
Zuchu nlikuwa nakaonaga katoto ka 2000 tu kumbe ajuza wa kwenda,asa hapa mbn kama team ya wcb imefeli pakubwa mana kwa umri wa zuchu ata akichuana na tyla atoboi ata kidogo,age imeenda ata kasi yake ya kufikiri jumbe za kueleweka lazima iende low kadri umri unavyopanda...Wcb ni label kubwa sana watuletee katoto ka 2000 ambaye dam bado changa aweze kukimbizana na musician wengine worldwide.
Ni mtazamo tu


Fata mambo yako witch. Usiku wote huu watu wamelala wewe unawaza fitina, tabia za kichawi.
 
Nadhani Mods wa jamii forum kuna aja ya kuanza kufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuaachia tu hawa waleta post wajipostie uninga kama wa hii thread ili kutuepusha kutujazia Savers na spaces kwenye simu zetu bila sababu za msingi.
mods wafanye nin sasa? Mbn unakuwa ka hamnazo,wewe usiye na ujinga umeweka nini hum kwenye jf cha maana kiachwe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom