Jay Moe vs Chid Benz

central midfielder

Senior Member
Apr 14, 2023
132
187
Sina shaka na uwezo wa Chid Benz. Kwenye Greatest rappers wangu wa muda wote anachukua namba 5.

Wengi wanasema Collabo yoyote akiwemo Chid Benz hawezi kufunikwa kamwe.(Hapa nakataa kidogo)

1. UKISIKIA PAAH YA JCB,FID,Q,JAY MOE NA CHID BENZ.

Humu Chid Benz alifunikwa vizuri tu na Juma Mchopanga. Jay Moe alifunikwa wote humu..

2. GEEZ MABOVU MIMI FT JAY MOE,FID Q NA CHID BENZ.

Humu alifunikwa tena..Jay Moe alibamiza sana. Na akafunika wote.

3. MCHIZI WANGU REMIX. Kulikuwa na vichwa vingi, Chid Benz pia alifunikwa na nampa tena Heshima Jay Moe. Jay Moe humu alifunika kwa maono yangu..

4. SPEED 120. Alifunikwa na Cowbama.

Zipo Collabo kibao za Hip Hop ambazo Chid Benz kafunika lakini hizo kakimbizwa sana tu.

NAONGOPA??

#forgive me.
 
.

1.UKISIKIA PAAH YA JCB,FID,Q,JAY MOE NA CHID BENZ.

Humu Chid Benz alifunikwa vizuri tu na Juma Mchopanga. Jay Moe alifunikwa wote humu..

2.GEEZ MABOVU MIMI FT JAY MOE,FID Q NA CHID BENZ.

Humu alifunikwa tena..Jay Moe alibamiza sana. Na akafunika wote.

3.MCHIZI WANGU REMIX. Kulikuwa na vichwa vingi, Chid Benz pia alifunikwa na nampa tena Heshima Jay Moe. Jay Moe humu alifunika kwa maono yangu..

4.SPEED 120. Alifunikwa na Cowbama.

Zipo Collabo kibao za Hip Hop ambazo Chid Benz kafunika lakini hizo kakimbizwa sana tu.

NAONGOPA??

#forgive me.
Chid Benz aliwika muda mfupi na hakua na Ngoma nyingi maana alikua na kolabo nyingi Sana nazani alijasahau Sana.... Ila kwenye huo muda aliua Sana...

Overall Jay mo ni mkali Kwa sababu ya kufanya Ngoma nyingi pia consistency
 
Sina shaka na uwezo wa Chid Benz. Kwenye Greatest rappers wangu wa muda wote anachukua namba 5.

Wengi wanasema Collabo yoyote akiwemo Chid Benz hawezi kufunikwa kamwe.(Hapa nakataa kidogo)

1. UKISIKIA PAAH YA JCB,FID,Q,JAY MOE NA CHID BENZ.

Humu Chid Benz alifunikwa vizuri tu na Juma Mchopanga. Jay Moe alifunikwa wote humu..

2. GEEZ MABOVU MIMI FT JAY MOE,FID Q NA CHID BENZ.

Humu alifunikwa tena..Jay Moe alibamiza sana. Na akafunika wote.

3. MCHIZI WANGU REMIX. Kulikuwa na vichwa vingi, Chid Benz pia alifunikwa na nampa tena Heshima Jay Moe. Jay Moe humu alifunika kwa maono yangu..

4. SPEED 120. Alifunikwa na Cowbama.

Zipo Collabo kibao za Hip Hop ambazo Chid Benz kafunika lakini hizo kakimbizwa sana tu.

NAONGOPA??

#forgive me.
Si wanamuziki hawa, wababaishaji tu mitaani. Una miaka mingapi wewe, au umezaliwa 2000 na kumi na ngapi?
 
Yooh Simu yangu ni soo..
Kuishika mtu sikubali..
Hata niwe na demu wangu simu yangu nitaiweka mbali .
Na sichelewi kuizima nikaiwasha nikiachana naye..
Najua ikiwa hewani nitagombana naye..
Simu yangu inakuwa daftari la kuifadhia mistari..

kwenye Simu Yangu, Solo na Soggy walikimbizwa mbaya...Japo na yeye alikimbizwa kwenye "Kama unataka demu"
 
Back
Top Bottom