Wadau habari zenu? Hili suala la diamond platnumz kuhusishwa na kupoka nyota za wasanii wenzake, hasa wale wanaofanya vizuri kwa kipindi fulani, limeshika kasi sasa.
Hivi karibuni kumekuwa na...
Huyu jamaa Leo kaenda clouds fm kipindi cha LEO TENA na wake zake wawili, wa pili na wa tatu. Wa kwanza hakuwepo.
Wameongea mengi kuwa wake zake wanapendana.
Ila kaulizwa swali na Geah Kuhusu...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili. I hope mko njema kabisa hapo.
Mimi ni mmoja kati ya raia ambao nafuatilia sana aina mbalimbali za muziki duniani. Nafuatilia Bongo Fleva, Hiphop, Afro Beat...
Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye...
Jana kulikuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Kaka mkubwa @professorjaytz kwa namna moja ama nyingine watu walifurahi kile alichokifanya jukwaani.
Pembeni yake alikuwepo @nikkimbishi999 majina...
Mwimbaji na YouTuber wa Rwanda Aimable Karasira amefariki dunia wakati akiachiwa huru kutoka kizuizini mjini Kigali, Huduma ya Magereza ya Rwanda (RCS) imethibitisha.
Katika taarifa yake, RCS...
Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi."
Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa...
Ukitaka kuona ukubwa wa Mzee Yusuph kasikilize kipande cha wimbo wa times fm(Juma dede) kilichoimbwa na Mzee Yusuph.
Huu wimbo ulikuwa mahsusi kwenye sherehe za times fm hivyo wasanii wa taarabu...
Nimeangalia interview ya Mex Cortez kwa Rick Media na kwa kweli ni best interview wasanii wajifunze
Kuna utofauti mkubwa ukilinganisha na interview nyingi za kawaida. Mazungumzo yameonekana...
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.
Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana...
Wanabodi,
Tunaposherehekea siku ya wanawake duniani ambayo ndio leo, sio vibaya tukiwakumbuka na Tanzanians Top Women Celebrities ambao kwa namna moja au nyingine, wameling'arisha jina la...
Nikki Zohan, Baba Malcom, Unju Bin Unuk, naweza kusema ni miongoni mwa marapa zangu bora wa wakati wote.
Kuanzia Lyrical ability, Theme, Cohesiveness, Frestyle, Punchline, Skill, Performance...
Nikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa...
Kuna huyu kijana anaitwa Gasper Comic kwa kweli yuko vizuri sana lakini ni kama jamii haimuoni hivi
Most of the times anazungumzia masuala Tanzania kwa kutumia jina la Malawi
Mwamba yuko vizuri...
Week end hii ilikuwa poa sana moja ya siku ambayo mashabiki wa Hip Hop Tanzania tuliisubiria sana
Jongwe na wasanii wengine walikuwepo kwenye usiku wa Prof Jay kutambua mchango wake katika game...
Niki ameshow love kwa Binti yake zuri, nakum wish happy birthday, wale mnaosema kachapiwa mtafuteni aliemchapia nick wa pili aende akamchukue mwanae.
Wabongo bhana kwa kukuza, wape picha maneno...
Mwimbaji wa Marekani, D4vd, amekamatwa kwa tuhuma za kumuua binti mwenye umri wa miaka 14 ambaye alitoweka mwaka jana.
Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa chini ya uchunguzi na jury...
Nipo upande wa Madam Ritha Paulsen Media za Bongo ni Uchwara Uchwara.
======================
Mdau wa burudani , Madam Ritha, ametumia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii kutoa ombi rasmi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.