Interview ya Mex kwa Rick Media imenikosha sana

Interview ya Mex kwa Rick Media imenikosha sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,803
Reaction score
60,649
Nimeangalia interview ya Mex Cortez kwa Rick Media na kwa kweli ni best interview wasanii wajifunze
Kuna utofauti mkubwa ukilinganisha na interview nyingi za kawaida. Mazungumzo yameonekana natural, yenye mafunzo, na yameonyesha upande mwingine wa maisha/experience zake.

Sometimes interview nzuri sio kelele wala controversy...dogo rich msafi sawa ana vibe kwenye planetbongo ila sometimes anazidi umuch know anakera… check namna mex anavyoelezea journey yake na reality ya maisha mbele ya mwanadada saraphina jerry wa rick media..wasanii wengine wasiochosha kwenye interviw mpaka unatamani kuwasikiliza wasimalize ni nikki mbishi pia AY..nitajie msanii mwingine ambaye unatamani asimalize kufanya interview..

View: https://youtu.be/fa3aqN9GrpU?si=LSK0nEJERmsY-d0J
 
Wasanii wa hiphop vichwani wako vizuri muda wote

Ova
Ni kweli mkuu sema kwenye kupata pesa kupitia muziki wao imekuwa ngumu. Wengi wao wanazidisha ujuaji na kuishia kuchuniwa na walioshika mipini. Utakuta mwanahiphop katoa album halafu anaisambaza mwenyewe mkononi. Eti ukiitaka album umpigie simu. Hata shows zao wanahudhuria watu wachache wapenda hiphop tu. Ni muda sasa wanahiphop wa TZ wajue mambo yamebadilika. Mgumu kama Snoop Dog tayari kaimba wimbo laini sana unaitwa Sensual Seduction. Hata 2pac angekuwepo angebadilika.
 
Hip hop asili yake ni ugumu, unatakiwa uishi kwa kufuata misingi sio mtu, kesho Snoop akiwa punga utasema mwana hip hop kuliwa ni sawa?
 
Hip hop asili yake ni ugumu, unatakiwa uishi kwa kufuata misingi sio mtu, kesho Snoop akiwa punga utasema mwana hip hop kuliwa ni sawa?
Watu mnaowaza upunga huwa ni mapunga. Mwanaume kamili huwezi kukumbuka upunga kila saa kwa sababu haiko kwenye maisha yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom