Ukiacha skendo ya marehemu mutahaba, sijawahi sikia skendo nyingine, alipo olewa nilijua ndoa haikatiz mwaka Mmoja Chali, lakini wapiiii, ndo kwanza ananenepa dada wa watu.
Nadhani wachawi wako...
28 Mei 2013 Msanii Maarufu enzi hizo wa Bongo Flavour alitutoka Duniani akiwa kwenye Matibabu huko nchini Afrika Kusini.
Wasanii wa Bongo Flavour wamejipangaje kumuenzi? Naona kimya sisikii watu...
Je, producer mkali hapimwi kwa kutengeneza hits za wasanii wakubwa pekee wenye mashabiki na nguvu ya kusambaza kazi zao, bali pia unapimwa kwa uwezo wa kumtoa msanii underground mpaka kuwa star...
Kelele ni nyingi uko Twitter utasema Majizo kaokota dodo chini ya mwembe. Naufananisha usajili wa Madenge kama usajili wa Mbwana Samatta pale Aston Villa. Usajili mbovu halafu mbovu tena...
Huyu dada Mtangazaji wa ITV nadhani inabidi apewe pongezi kwa jinsi alivyojitoa muhanga kutangaza habari za CDM wakati wa uchaguzi hadi sasa, amezunguka mikoa yote na viongozi lakini kikubwa ni...
Wakuu,
Anaitwa Latricia Ian, jana ndo kachaguliwa kuwa ni Miss World Tanzania
Mna uhakika huyu ndo anaenda kutuwakilisha Watanzania huko Miss World?
Kamati ya Miss World wametumia vigezo kumpa...
Juzi kuna memba aliweka uzi kuwashirikisha wanajukwaa kuwa Vunjabei anahisi kama anaenda kufilisika ila hakuwa na uhakika yote ni sababu ameona maduka yake kama yanapumulia Gesi na mengine...
Kalapina,
Huyu jamaa mbali na kuwa na harakati nyingi akiwa pamoja na kundi lake la Kikosi cha mizinga .ukweli ni kwamba hana kipaji cha music. Alipata umaarufu coz ametoka kipindi wasanii ni...
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza dada Lamata kwa ubunifu na uchapakazi katika tasnia ya filamu (tamthiliya)
Nikiri huwa naifuatilia tamthiliya ya Juakali. Ilianza vyema ila huku mbeleni...
Maimartha na Bwana Wake Puff Daddy ni matepeli wakubwa. nyepesi nyepesi zilizonifikia ni kwamba Bwana yake Maimartha alikopa pesa kwa shangazi yake (10,000,000) ili kuendesha Tamasha la Kimwana wa...
Kuna habari kwamba wakazi kadhaa wa jijini wana mpango wa kumtumia mtu aliye karibu nae ili amsaidie mama huyu. Yasemekana wanawekwa foleni kubwa kwenye magari ili tu yeye apite aende salon mara...
Wadau habari zenu? Hili suala la diamond platnumz kuhusishwa na kupoka nyota za wasanii wenzake, hasa wale wanaofanya vizuri kwa kipindi fulani, limeshika kasi sasa.
Hivi karibuni kumekuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.