Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kingwendu: Ningepewa airtime ningekuwa level moja na Diamond na Alikiba Mchekeshaji maarufu nchini, Kingwendu amesema kama nyimbo zake zingepata promotion ya kutosha, angekuwa anashindana na...
4 Reactions
18 Replies
8K Views
MTOTO WA ZARI aliezaa na marehemu Ivan, alie kua mzazi MWENZA na diamond PLATNUM, pinto ambaye ni kaka yake na tiffah dangote, amebadili DINI na KUINGIA KWENYE UKRISTO ili hali amelelewa kwenye...
11 Reactions
25 Replies
776 Views
Anaitwa Kris Jenner, mama mzazi wa Kim Kardashian. Huenda usiamini kuwa alizaliwa mwaka 1955, bado anaonekana nadhifu sana. Mtoto yuko soft kweli, kuvunja biskuti hawezi! 😅 Anavutia kwa namna...
13 Reactions
55 Replies
1K Views
  • Redirect
Unadhani wasanii wengine wanatumia ipasavyo majukwaa na ushawishi wao kupaza sauti za wanyonge na kudai uwajibikaji kwenye jamii zetu kama alivyofanya Davido? Wakati wa maonesho ya FIFA...
1 Reactions
Replies
Views
Kinachoendelea kupata umbeya, pia nikujifunza mambo mbalimbali. Kwanza chanzo cha MNYUKANO, Diva alianza kumuongelea vibaya mitandaoni, marehemu Dida aliye kuwa mtangazaji mwenzake, hapo wasafi...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Wakuu, Haya ndugu zangu, wale wapenzi wa Sports mmefikiwa Sina shaka na Dauda ila hapa kwa Meena mmmh Mbona kuna female presenters wazuri tu (mfano Salama Jabiri) ambao wangeweza kufit hapa...
5 Reactions
14 Replies
537 Views
Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake. Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto...
1 Reactions
9 Replies
206 Views
Tukio lime tokea Jana saa mbili usiku, mwananyamala, ni muda mchacge tangu atoke kuwasalimu hapo studio, kuelekea nyumbani baadae kapigiwa simu Ngoma ina Waka. Shukran Kwa majirani, tuishi na...
8 Reactions
97 Replies
2K Views
Katika Siku ya jana rapper jay z ali achia live freestyle session katika jukwaa la roots picnic. Freestyle hiyo ilibeba jumbe kadhaa zilizo walenga baadhi ya wasanii wa hip-hop, au maadui walio...
9 Reactions
61 Replies
1K Views
Bien kutoka Kenya ameendelea kuthibitisha ubora wake katika muziki wa Afrika Mashariki kwa kutawala kwa takriban miaka sita mfululizo. Tatizo ni kwamba baadhi ya mashabiki wa Nasibu Abdul (Diamond...
2 Reactions
1 Replies
148 Views
Msanii wa muziki, Rayvanny ametangaza kuwa atakuwa miongoni mwa wasanii watakaoshiriki katika tamasha la FIFA Countdown Concert kuelekea mashindano ya 2026 FIFA World Cup, Huko Toronto, Nchini...
3 Reactions
6 Replies
425 Views
Kula chuma hiyo. Kusah Vs Aunty Ezekiel Rich mitindo Vs Jacklin Wolper Lugendo Vs Shamsa Ford Vijana wa kisambaa mmekuja kuwaje Wakati Sisi wazee wenu tulikuwa tunatambulika kwa uchapakazi...
17 Reactions
73 Replies
7K Views
Nimekuwa nikisikia watu wengi wakisema Uhakika ya Ibrah ndiyo wimbo bora wa mwaka 2026. Sawa, nakubali unafanya vizuri sana. Wimbo unachezwa kila mahali: bodaboda, kwenye mabajaji, mitandaoni...
2 Reactions
3 Replies
250 Views
Rapper Zainab Lipangile ( Zay B) amefariki Leo asubuhi na anatarajiwa kuzikwa Leo saa kumi kwenye makaburi ya Tabata Kinyerezi. Inna lilahi wa innah ilayhi raji'un. Rest In Peace Zay B.
27 Reactions
294 Replies
5K Views
Basi bwana inasemekana Upendo kafall in love na mume wa mke mwenye watoto wawili. Wakaenda South Africa, Upendo akanogewa penzi. Bwana akamwambia nipo radhi nikuoe mke wa pili, Upendo akakataa...
9 Reactions
87 Replies
2K Views
  • Redirect
Mama huyu anastahili Honorary doctorate (Honoris causa) kwa kuficha mali zake.dhili aliyekua mumewe.
0 Reactions
Replies
Views
Msanii wa rap Bongo, Scorpion (Tgun Tozzy) ameeleza malalamiko yake akidai kuwa Chief Godlove amekimbia na chaneli yake ya YouTube huku akikataa kumpa mkataba wa lebo kama walivyokubaliana...
1 Reactions
10 Replies
428 Views
Sasa sikia kaka, kama ulikuwa na redio ya betri au home kulikuwa na deck, halafu muziki unaopigwa ni wa Oliver N'Goma, Monique Séka au Mbilia Bel – basi bila hata kujua ulikuwa unasikiliza kazi ya...
4 Reactions
9 Replies
707 Views
Bongo bana unaweza kutengenezewa uadui na wengine nawe ukaufanya halisi mpaka kufikia hatua ya kumchukia mtu kweli kwa kweli Hawa mabinti wawili walichonganishwa mbaya na media uchwara..hivi Leo...
9 Reactions
111 Replies
25K Views
Mwanzilishi Mwenza Wa Roc-A-Fella Records, Dame Dash Akiwa Kwenye Mahojiano Na Podcast Ya 'The Art Dialogue' Amedai Kuwa Jay-Z Alikuwa Akitoa Haruf* Mbaya Mdomoni. Huu Ni Muendelezo Wa Ugomvi Wao...
0 Reactions
4 Replies
228 Views
Back
Top Bottom