Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,503
12,166
Huyu jamaa Leo kaenda clouds fm kipindi cha LEO TENA na wake zake wawili, wa pili na wa tatu. Wa kwanza hakuwepo.

Wameongea mengi kuwa wake zake wanapendana.

Ila kaulizwa swali na Geah Kuhusu kulala na wake zake chumba kimoja, jibu Lake ni kuwa wake zake wawili (isipokuwa wa kwanza) analala nao ila Kuhusu kushiriki tendo kwa pamoja hajakataa ila amesema ni mambo ya ndani.

Sasa huyu chalii ndio anamaanisha wanashiriki "threesome" na wake zake sio.
Ukiwa na hela raha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhhhhhhhhhhh! Trump anasema ukweli kuhusu Waafrika
Nasikiliza BBC World Service hapa.

Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.

Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.

Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikikiza BBC World Service hapa.

Hahahahaha... mkuu, Mwaka sio "dokta" ila ni 'quack' ni kwa vile tu yupo kwenye hizi nchi zetu ndio maana ana uhuru wa kujiita na kuitwa rank ya Kitaaluma ambayo hanazo.
Huku ni gizani mkuu Kiranga
 
Nawahakikishieni hao wanawake wapo kifedha tu hapo wanamvumilia sababu ya vyuma tu kukaza na fedha za jamaa , lakini hamna Mwanamke anayependa kushea dyudyu, then wawili sawa ila wake watatu ni tamaa tu, na hapo lazima achapiwe ndio utakuta umeme unaingia ndani ya familia anauleta mmoja then wote wananasa, wanawake watatu utawezaje kuwarizisha kisawasawa kama sio tamaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikikiza BBC World Service hapa.

Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.

Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.

Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mhuni sio dokta ni mganga wa kienyeji
 
Afu bado unamwamini kwenye mambo ya ushauri tena kwenye ndoa!! Ni ujinga huu
Nasikikiza BBC World Service hapa.

Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.

Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.

Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikikiza BBC World Service hapa.

Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.

Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.

Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio bongo. Nimeisikia hiyo habari ya ugunduzi wa dawa mpya kwa kutumia AI, Artificial Intelligence (AI) BBC News.
 
Back
Top Bottom