Sasa ni zamu ya Dully Sykes baada ya Prof Jay

Sasa ni zamu ya Dully Sykes baada ya Prof Jay

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,426
Reaction score
28,232
Week end hii ilikuwa poa sana moja ya siku ambayo mashabiki wa Hip Hop Tanzania tuliisubiria sana

Jongwe na wasanii wengine walikuwepo kwenye usiku wa Prof Jay kutambua mchango wake katika game ya rap nchini. Huu ni ukweli usiopingika Jay alistahili though kwa kuchelewa lakini si haba

Tukirudi katika muziki wa bongo flava anayestahili kufanyiwa event kama hii ni mjukuu wa mzee Sykes, Dully. Sijui kama wasanii wenzake wa bongo flava watakuwa tayari.

Ila tuliona kwenye usiku wa Jay, Nikki Mbishi, Songa, Joh Makini na wengine wakiimba na kufanya back vocals ya ngoma za Jay walishoo love sana. Mbishi aliimba hit songs zote za Jay.

Dully ndiye king wa bongo flava. Alileta mapinduzi makubwa kwenye kiwanda cha flava za kibongo.
 
But recognition bado iko low kidogo… why?
Ushirikiano kati ya wasanii ni kipengele. Angalia hata wasanii waliopost kuhusu hilo tukio ni wachache sana acha wachache waliohudhuria

Pia media hazina ushirikiano. Na ni vile EFM ni kama ndio walisimamia hilo tukio, media zingine kama CMG, Wasafi hawakuipa airtime

Bongo usenge mwingi sana
 
Dully nakuonea huruma usije ukadata, haya kazime taa uje kupata!

Huwii! Nikaenda kuzima taa ili nipate n'nachotaka. Nyambizi mama la kitanga, kiuno kizima kajaza shanga.
Huwezi kuamini kwa jinsi alivyozipanga, kala mkorogo unaweza kujua ni mmanga!

Jimama kote anacheza, hadi sodoma. Japo kanimeza lakini mchezo anauweza.

Na sijui wapi mchezo huu aliupokeza. Sababu macho anafumba na kiuno anakilegeza.
–Dully

🔥🔥🔥​
 
Domo wa kawaida sana. Amekuja kipindi platforms nyingi.

Wamshukuru sana Dully na wengine wa nyakati zake walifungua njia ya bongo flava kama Jay alivyowafungulia njia wana Hip Hop
Mondi anajua, ila upuuzi mwingi. Kuna wasanii tunawakubali wao na kazi zao, na kuna wasanii tunakubali kazi zao TU
 
Week end hii ilikuwa poa sana moja ya siku ambayo mashabiki wa Hip Hop Tanzania tuliisubiria sana

Jongwe na wasanii wengine walikuwepo kwenye usiku wa Prof Jay kutambua mchango wake katika game ya rap nchini. Huu ni ukweli usiopingika Jay alistahili though kwa kuchelewa lakini si haba

Tukirudi katika muziki wa bongo flava anayestahili kufanyiwa event kama hii ni mjukuu wa mzee Sykes, Dully. Sijui kama wasanii wenzake wa bongo flava watakuwa tayari.

Ila tuliona kwenye usiku wa Jay, Nikki Mbishi, Songa, Joh Makini na wengine wakiimba na kufanya back vocals ya ngoma za Jay walishoo love sana. Mbishi aliimba hit songs zote za Jay.

Dully ndiye king wa bongo flava. Alileta mapinduzi makubwa kwenye kiwanda cha flava za kibongo.
Vibaraka wa serikali haramu ya samia na kikwete na jambazi Rostam azizi...mnaangaika sana ..simlikubali kuwa vibaraka kwa kuimbia ccm ...sasa wananchi wamewakataa na miziki yenu (fanyeni kazi ) siyo kututingishia vijambio majukwaani wskati watanganyika wanachinjwa usiku na mchana kwa kudai haki zao .
 
Dully Sykes playlist🔥🔥
Julieta
Salome
Tamika
Nyambizi
Miss Tz uk
Kupenda
Leah
Ladies Free
Historia ya kweli
Hi
Hajisadi
Dhahabu
Bijou
Watasimuliwa
Utamu
Hunifahamu
Mkuu hapo kwenye dhahabu ile kolabo ya watu wa tatu, Dully, Mr. Blue na Joseline mtambo nani aliua sana? Mimi mpaka leo sijapata jibu kamili ingawa Dully alijaribu kufunika verse ya mwisho kwa kuweka ubet wa nne ili asisahaulike kwenye nyimbo yake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom