Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,808
- 11,894
Wadau habari zenu? Hili suala la diamond platnumz kuhusishwa na kupoka nyota za wasanii wenzake, hasa wale wanaofanya vizuri kwa kipindi fulani, limeshika kasi sasa.
Hivi karibuni kumekuwa na mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu kupokwa kwa nyota ya msanii Jay melody aliyetamba ni nyimbo kadhaa hapo nyuma.
Wadau wanadai Jay melody baada tu kufanya wimbo wa pamoja na diamond platnumz ndio basi tena, hasikiki tena. Hata akitoa wimbo sasa hivi haufiki mbali kama hapo awali.
Hata hivyo msanii Jay melody amekanusha vikali madai hayo ya kuibiwa nyota yake.