Matonya amesema "inamuumiza sana na siwezi kuisema kiukubwa lakini naweza kusema hiyo picha mbaya ya ubakaji ndio inaniumiza zaidi kwa kweli walioamua kuiweka hivyo au kuipanga hivyo mpaka...
UGOMVI WA SISTER P & ZAY B
"Tangu zamani nilikuwa naficha lakini leo itabidi niseme ukweli, Mimi na Zay B hazijawahi kuiva, haziivi na haziji kuiva yaani yule mtoto hapana hatuendani, na yeye Zay...
Kwa wapenzi wa Movies za action za Mishen (Mission) Impossible hii sura ama huyu mwigizaji siyo geni.
Muigizaji maarufu Mmrekani mweusi anayependwa sana (beloved) Ving Rhames 66 yrs amelazwa...
Kuna bendi moja kongwe ya muziki wa dansi, sitaitaja jina.
Wanamuziki wake walipukutika kama Uyoga ndani ya miongo miwili ni kama walikwisha. Unajua sababu?
Jimama la Kimanyema mixer Kiarabu...
Ni watangazaji wa mwanzoni kabisa wakati ITV inaanzishwa walinogesha mno kipindi cha muziki muziki.
Sunday yuko BBC kama sikosei ila Monica sijui alipo.
Nawatakia mafanikio mema.
Wana JF, habari zenu.
Zanzibar ni kisiwa cha marashi, sifa yake duniani kote ni fukwe safi na utalii wa kiwango cha juu. Lakini kwa mrembo Mmarekani Ashlee Jenae (31), ambaye amejijengea...
LAGOS — The Ologolo branch of Harvesters International Christian Centre has surged into the spotlight as online conversations intensify around its lead pastor, Bolaji Idowu, following a series of...
Nimeangalia series nyingi za Kikorea lakini sijawahi kuona jamaa ambaye anaweza kuvaa character ya Ujambazi na kuwa na kiherehere kama huyu jamaa
Huyu jamaa kaigiza kwenye East Of Eden, Secret...
Msanii Mkongwe wa Filamu Nchini Hashim Kambi amefariki dunia hii leo April 27, 2026 ambapo taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msemaji wa Shirikisho la Filamu Nchini Coletha Raymond...
Umaarufu kitaifa kwenye sanaa, michezo, mitandaoni, n.k.
Tuelewane kidogo, wawe ni vijana wasiozidi miaka 40 walioishi na kukulia huko, sio wazazi kutokea huko.
1. Katavi
2. Mara
3. Lindi
4...
Ukwaju wa kitambo
Leo nimebahatika kukutana na msanii Kigwema Bosco kwa jina Maarufu anafahamika kama kigwema. Ni msanii wa zamani wa Bongo Fleva. Naimani unatamkumbuka kwa ngoma kali kama Vile...
BREAKING NEWS: Pastor Jerry Eze Trends Amid Debate Over Publicized Charity Works
Nigeria’s social media landscape is once again abuzz as Pastor Jerry Eze, convener of the widely followed NSPPD...
Gangster Hiphop ya Arusha, Muziki unaosambaza mbolea ya magenge, mihadarati, uhalifu na vurugu, ukifumbiwa macho ukamea ni bomu linalosubiri kulipuka
Muziki wa hiphop wa Arusha unazidi...
Hawa wanawake wengine ni shida, ya ndani analeta hapa mtandaoni kweli dah. somenihapo chini (instagram)
joycekiriasuperwoman
Kilewo baba Watoto wangu, yaliyotokea ilibidi yatokee ili kila...
Chama cha Ma-DJ kule Nigeria kimetangaza mgomo wa kupiga nyimbo za Burna Boy. Wamepiga marufuku Ma-DJ wote ndani na nje ya nchi kupiga ngoma za msanii huyo sehemu yoyote.
Kisa na mkasa ni kwamba...
🧵 TAFAKURI: Maisha ya Wasanii Nyuma ya Pazia – Kuna Nini Kinaendelea?
Kuna jambo huwa linanikaa kichwani kila mara ninaposikia habari za wasanii kufariki katika mazingira ya kutatanisha. Sio kwa...
HADITHI YA CINDY LE CŒUR MAMACY
LA VOIX QUI DEVINT REINE :
HISTOIRE DE CINDY LE CŒUR
01) Alizaliwa tarehe 11 Novemba 1983, Candy Nkunku anafahamika na kuheshimiwa katika jukwaa la muziki wa Congo...
Msanii wa Bongo Flava, Matonya (Sefu Shabani Ramadhan), amefunguliwa mashtaka ya ubakaji mjini Mombasa, Kenya kufuatia tukio linalodaiwa kutokea Aprili 7, 2026.
Matonya, anayejulikana kwa nyimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.