Kifo cha Kibo Marealle kimenishtua sana, hasa kwa kuzingatia kwamba alikuwa bado kijana. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba muda mfupi kabla ya mauti kumfika, usiku huo alikuwa kwenye sherehe...
Habari Wakuu,
Taarifa inataarifu mlembwende huyo ambaye ni influensa kutoka USA amefia kwenye moja ya Resort ya hali ya juu hapa TZ. Hii habari ni ya zamani mimi ilinipita au ni manga'nyu...
Mitandao ya kijamii imetoa fursa kubwa sana kwa mtu yeyote ‘kwenda mjini’ chap. Hii ni orodha ya baadhi ya watu ambao kusingekuwa na intaneti, wasingepata umaarufu walioupata.
DKT. LOUIS SHIKA...
Kuna tetesi mwanamuziki A.K.A kutoka South Africa amepigwa risasi huko Durban, South Africa
A.K.A aliwahi kushirikiana na mwanamuziki Diamond miaka ya nyuma wakachia kibao kinaitwa 'Make Me Sing'...
Mrisho Mpoto
Watanzania wengi wanamjua Msanii Mrisho Mpoto ambaye anafahamika si tu kwa kazi zake, bali pia kwakuwa hutembea peku peku wakati mwingi.
Mpoto amejipatia umaarufu kwa utaratibu wake...
African Princess Records inapenda kuwataarifu rasmi wadau wa muziki, vyombo vya habari, na mashabiki wote kuwa msanii wetu mpendwa Yasirun Yasin Shaban, anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii...
Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake
Tazama Video hizi...
Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii.
Akizungumza kwa uchungu kwenye...
Mchungaji aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja katika ukurasa wa Facebook
Mchungaji anadai Martha Mwaipaja anajihusisha na vitendo vichafu vya usa**ji) visivyokubalika ndani ya jamii ya...
Wambea wa Jf
Nimeisikilza hii habar mara 10 na sjjapata jibu.
Nilivoelewa n kama Joan apendi martha kuwa au kuwasiliana na mama ake.
Mlioelewa Joan n rafiki wa martha
Joan n mtoto wa martha?
Joan...
Pipijojo Ahamia Rasmi Kwa Nandy (The African Princess) – Mwanzo Mpya Wa Moto! 🔥
Msanii chipukizi mwenye kipaji kikubwa, Pipijojo, anaendelea kupiga hatua kubwa kwenye tasnia ya muziki Tanzania...
Ninapoongelea kipaji wengi tunaelewa: ni kama kalama au ID ambayo unazaliwa nayo
So Huwa nikitulia home na pc yangu ninamtindo wa kupakua beat na kuingiza saut mwisho na play kwa kujisikiliza...
Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa...
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mke wa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa...
Mchekeshaji maarufu kutoka Senegal na ambaye anaishi Italy ameepuka mtego wa wazungu
Mwaka 2024 mwezi wa sita alifunga Harusi ya kiisilamu na mwadada , Wendy Thembelihle.
Mwaka huu mke wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.