Salma kikwete na salon!

Msongoru

JF-Expert Member
Apr 16, 2008
306
24
Kuna habari kwamba wakazi kadhaa wa jijini wana mpango wa kumtumia mtu aliye karibu nae ili amsaidie mama huyu. Yasemekana wanawekwa foleni kubwa kwenye magari ili tu yeye apite aende salon mara kwa mara. Wanadai uvumilivu wa usumbufu huu umewashinda!!
 
If this is true kwa nini Ikulu hawamtafutii a dedicated beautician? Kwenda salon za kawaida kunaweza kusababisha mengi tu zaidi ya dada na mama zetu wengine kucheleweshwa.
 
Kuna habari kwamba wakazi kadhaa wa jijini wana mpango wa kumtumia mtu aliye karibu nae ili amsaidie mama huyu. Yasemekana wanawekwa foleni kubwa kwenye magari ili tu yeye apite aende salon mara kwa mara. Wanadai uvumilivu wa usumbufu huu umewashinda!!

Mungu wangu...!
Je hii ni kweli???

Yaani foleni zote na muda wote, kuna mtu anaenda salon1?
 
Kuna habari kwamba wakazi kadhaa wa jijini wana mpango wa kumtumia mtu aliye karibu nae ili amsaidie mama huyu. Yasemekana wanawekwa foleni kubwa kwenye magari ili tu yeye apite aende salon mara kwa mara. Wanadai uvumilivu wa usumbufu huu umewashinda!!
....Nadhani ni bora huyo anaemtengeneza nywele Salma awe anakwenda kumuhudumia huko huko ikulu...Kwani JK akitaka kupunguza nywele ili apige picha lazima aende salon kinondoni (BM) au Sinza????
 
Ok inaonekana hii ni kweli kwa kiasi fulani as some of us know even the name of the places.
Sasa kwanini hawa jamaa wenye hizi solon wasiweke branches zao pale Magereza au hata Makumbusho mle ndani ili watusaidie sisi walala hoi.
Kwani sasa ni bora kutembea kwa miguu kama huna pikipiki.
 
Cheo ni dhamana! Sasa naona mnaenda pabaya. Wakina mama si unajua satisfaction yao ni nini? Wanawake ni kikwazo sana ukiacha mama zetu tu waliotuzaa, lakini hata ushahidi ukimwuliza baba vizuri kabisa appraisal ya mama utajuta na unaweza usioe kama unataka kuoa! Ni noma hadi leo hii hakuna mwanamme au mwanamke anayejua haswa katika maisha nini mwanamke anataka au kuhitaji na ukimpatia tu akae kimya. No and Never known to anyone. They are very likely a double standard creatures. Even you ask them they say it is.

Wanawake wote wangekuwa kama wanaume huku duniani tungeishi kama malaika. Ujambazi, matukio yote ya kutisha, ufisadi nk. yote yanafanyika ili haswa kumridhisha mwanamke baada ya kutokuelewa nini haswa mwanamke nahitaji.

Wanafalsafa wa kale walielewa kuwa mwanamke anahitaji control ya mwanamme na aaliye tough n rough. But wapigania sijui haki za wanawake pia nao hawajui mwanamke anahitaji nini haswa akipatiwa katika level ya even familia akae kimya. No they know not. Abishae aweke madonge yake hapa.
 
mhu hii kali!si awe anatengenezwa hapo hapo ikulu!

Watamjuaje na yeye kama yupo, lazima ajipitishe huku na kule ili kuonyesha vidudu vyake latest alivyoshuka navyo toka Marekani ati! :) Kukaa Ikulu 24/7 kunachosha.
 
Hizi ni spinning za Philemon Mikael, huu ni udaku peleka inapohusika..

Swadakta Mzalendo Masatu invisible si yupo? Tatizo anatakiwa kuwa visible au unasemaje. Mpiganaji kisha haonekani vita yake si ni mtego na tabu tupu?

Jokin anyway!
 
Acheni chuki za kudhalilisha huyo Mama ndioiwe nini au kwa faida ya nani tuwe wastarabu
 
Udaku huu... Mama Salma mbona anawatu maalum wa maswala ya urembo na mavazi tena wapo karibu nae na sio kama ilivyowekwa hapo juu na muanzisha Hoja. Tuongee vyenye maaana jamani au ndio mnataka kuifanya JF kuwa 8020 Fashion.
 
If this is true kwa nini Ikulu hawamtafutii a dedicated beautician? Kwenda salon za kawaida kunaweza kusababisha mengi tu zaidi ya dada na mama zetu wengine kucheleweshwa

KUNAMSAIDIA AWASILIANE NA KALE KANGAST CHAKE JAMANI !!!MBONA MZEE ANARUKA KILA SIKU NA KIMADA NA ANATANGULIZWA HAMUOENGEI???????VIPI NYIE KWANI SALMA ATAKI KUCHECKIWA ENGINE YAKE JAMANI?????NANI ANAWEZA ENDESHA GARI BILA SERVICE HUU NDIO MUDA WENYEWE SAALOOOOOOOOOOOOOOOOOOnnnnnnnnnnnnnniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Udaku huu... Mama Salma mbona anawatu maalum wa maswala ya urembo na mavazi tena wapo karibu nae na sio kama ilivyowekwa hapo juu na muanzisha Hoja. Tuongee vyenye maaana jamani au ndio mnataka kuifanya JF kuwa 8020 Fashion.

Ndio maana mi nikauliza anakwenda saluni gani?
 
Hizi ni spinning za Philemon Mikael, huu ni udaku peleka inapohusika..

....masatu and who ever that is down with such thought..blow...blow...

.......masatu you can write better than that.....who cares about that lousy crack..or her top.....inakuwaje utoke huko uliko toka uanze kusema that is my spinning...people dare talk openly ...sasa ubafikiri kila mtu atakuwa anaamini unachoamini...dude ameandika what he think is true....comfront him with ...reasons....au hakikishia jamii kuwa watu hawakalishwi kwenye foleni ....na utuambie security motorcade detail ya first ladies kuanzia awamu ya kwanza ilikuwaje....hadi sasa awamu ya nne.....

sikupenda..wewe kunihusisha na mtoa mada wakati kila mmoja ana uhuru wa maoni.....acha assumtion au nightmares zako ...

thanks mzee...aint no mean to offend nobody!!!
 
Mkuu,

Hii habari kwanza ililetwa na wewe ( correct me if im in wrong ) hapa. Kwa maelezo yako ya sasa je unakana yale uliyoaandika before?

Huu ni udaku na unajua hivyo lakini kwa sababu unazozijua mwenyewe unashabikia, nimekuhusisha na mada hii kwa sababu wewe ndio muasisi wa hii mada haya sasa tueleze hizo security details za 1st lady wa awamu ya kwanza basi.

Kasirika mpaka upasuke habari ndio hiyo!
 
Kuna habari kwamba wakazi kadhaa wa jijini wana mpango wa kumtumia mtu aliye karibu nae ili amsaidie mama huyu. Yasemekana wanawekwa foleni kubwa kwenye magari ili tu yeye apite aende salon mara kwa mara. Wanadai uvumilivu wa usumbufu huu umewashinda!!

Duh si mchezo, mume akipita tunawekwafoleni, mke akienda salon tunagandishwa foleni hii nchi ya viongozi na wake zao sisi wengine wapangaji..MH na akienda shopping?
 
Mkuu,

Hii habari kwanza ililetwa na wewe ( correct me if im in wrong ) hapa. Kwa maelezo yako ya sasa je unakana yale uliyoaandika before?

Huu ni udaku na unajua hivyo lakini kwa sababu unazozijua mwenyewe unashabikia, nimekuhusisha na mada hii kwa sababu wewe ndio muasisi wa hii mada haya sasa tueleze hizo security details za 1st lady wa awamu ya kwanza basi.

Kasirika mpaka upasuke habari ndio hiyo!

...mimi sijawahi kuanzisha thread kwa ajili ya salima...or whatever is called..ila nakumbuka huko nyuma kwenye mchango wangu nimepata kuongelea ...watu kukalishwa foleni bila sababu kwa ajili ya kupisha msafara wa salma...nilieleza kuwa hii siyo vema kwa kuwa ..haina sababu zaidi ya kuleta usumbufu...kuna haja gani ya msafara wa mke wa rais kuwa na magari matano na piki piki ...haina haja zaidi ya kumuharibia mumewe...kwani hana nafasi kwenye katiba....hilo sioni aibu kulisema popote.....LAKINI KWA KUWA MIMI NILISHAPATA KUTOA MAONI HAYA HAPO NYUMA ..HAIMZUWII MTU KUANZISHA THREAD......tena anaweza kuwa ameanzisha pasi kujua hili limepoata kuongelewa kwenye michango ya kwaida.....afteral mimi niliongelea usumbufu wa misafara yake..wala sikuwa specific kuwa anaenda saloon..kwani lazima atakuwa na safari nyingi tu...hatuzijui..anaweza kwenda kimya kimya....

umeongelea first ladies waliopita......????...sijapata kuona msafara wa MAMA MARIA...MAMA SITTI..AU BI MKUBWA WAKE...MAMA MKAPA ets.....Wote hawa walikuwa first ladies na walikuwa wakipita pasi msafara...zaidi ya kuwa na mlinzi garini ..mwenye radio call...kumsaidia pale anapokwama hata kwenye foleni anauwezo wa kuwasiliana na traffic control...na line aliyopo magari yakaruhusiwa....bila watu kulazimika kusimama pembeni...

viongozi stahili kutuweka pembeni wanapopita ni....RAIS ,MAKAMU WA RAIS,WAZIRI MKUU ,RAIS WA ZANZIBAR,WAZIRI KIONGOZI[naibu waziri mkuu au naibu waziri kiongozi..ikibidi],marais wastaafu wa MUUNGANO-motorcade ya kudumu,[rais mstaafu wa zanzibar ..anapewa motorcade mara anapostaafu na huendelea kupunguzwa hadi kuondolewa kabisa..the same to prime ministers]....hao kina salmin,jumbe,msuya,salim,warioba,lowassa,sumaye,malecela,kawawa..tunapishana nao tu....na tunasubiria taa kama wengine......

wakuu wa vyombo vya usalama kama mkuu wa majeshi na mnadhimu mkuu.,mkuu wa polisi,spika,jaji mkuu,TISS,prison ...wanatemebea na msafara wa gari mbili au tatu ...[msafara bubu.....yaani magari yao huruhusiwa pale yanapokumbwa na foleni...automatically hawakai foleni..lakini mwananchi wa kawaida hataweza kugundua...unless otherwise!!!!!

.....sasa sijui unasemaje hapo kuhalalisha muda wa wananchi kupotea barabarani....hii haihusiani na chuki ..as i said ..i have no reason to care about...bali ni kuhusu uhalali wa misafara isiyokuwa na sababu....zaidi ya ufahari....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom