Maimartha wa Jesse na bwana yake watapeli mamilion ya pesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maimartha wa Jesse na bwana yake watapeli mamilion ya pesa

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mrembo, Oct 21, 2008.

 1. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2008
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Maimartha na Bwana Wake Puff Daddy ni matepeli wakubwa. nyepesi nyepesi zilizonifikia ni kwamba Bwana yake Maimartha alikopa pesa kwa shangazi yake (10,000,000) ili kuendesha Tamasha la Kimwana wa Twanga apo mwanzoni mwa 2007. mpaka leo amekataa kuzirudisha izo pesa. Sakata hilo lilifika Police Oysterbay lakini yeye Puff akakataa kabisa kukubali kuwa hizo pesa alipewa. Vyanzo vya habari vinaonyesha kuwa Maimartha na Bwana Yake wamekuwa awkionyesha dharau kubwa sana kwa shangazi huyo kwa kukataa kumsalimia kabisa.

  Habari ndio hiyo
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hii kali imekaa kiudaku udaku kama magazeti ya Shigongo Eric....
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  Huu ni umbea si habari ya kuleta humu. Tena wewe unaonekanao umeji register member OCtober hii tu. Please, hizo ni kesi za madai zipelekwe polisi.

  Hapa tunazungumzia issues macro kwa ajili ya jamii nzima ya Watanzania na dunia nzima.

  Taarifa hii peleka kule theutamu wanapenda sana hizi na picha ya Maimartha wanayo.

  Simfahamu Maimamartha in any case bali nataka Jf iwe ni jukwaa la kijamii la kuongelea issue muhimu na si sehemu ya Udaku na umbea. Pia ukitaka peleka Global publishers watoe magaezeti ya udaki. Thanks.
   
 4. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2008
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hujalazimishwa kusoma. we kama unaona udaku usisome wala usicomment

  THANKS FOR UNDERSTANDING
   
 5. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mrembo huna issues za maana za kuleta jamvini? siku nyingine njoo na issues za maana!
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hiyo si Lugha ya kistarabu kabisa kumwambia huyu member mpya.
  Kaleta thread changia kama hutaki si unaacha au amekulazimisha uchangie?
  Hii nayo ni ishu macro wale ni watu maarufu hapa Bongo kwa nini wasimulikwe kama wamemtapeli Shangazi yao?
  Mbona unajihami au ndo weye Maimatha?
  Hili swala la kutapeli ndugu kwani sio la kijamii?Angali mleta hoja ameiweka kwenye tetesi.

  Unampangia wewe?Kwani wewe ni nani mpaka ukampangia habari kwa kupeleka?Unaona yeye kama kakosea kuleta habari hapa?
  Nina wasiwasi wewe ni miongoni mwao.

  Jaribuni kuwa wastarabu hivi mnataka wazungu warudi tena wawafundishe ustaraabu?
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kusoma ni muhimu. We are critical here na si udaku wala umbea. Wanawake siku hizi achana na umbea jenga nchi na familia. Please, nakushauri pitia thread za hapa jamvini uone wenzako wanavyo post issues za maana. Na kama hazina maana tunazipiga chini as well, same as yours. Unasikia mama eh.

  Au umeshagombana na Maimartha sasa unaleta mambo humu ya umbea??? Yamalizeni hukohuko. Maana nyie mnaojiita mara warembo, mara ma star mara vile hamuishi na vituko.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Utamu ipo hewani peleka kule.....dada your very low....udaku udaku period!, source ya habari hii ni utata mtupu...sasa kama kachukua hela za shangazi yake JF ifanye nini? Tujadili ama?
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Oct 21, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Je hii iko kwenye JF rules ? kwamba habari za aina hii zisiletwe humu? Kuna habari moja ilihusu mheshimiwa waziri na kimada wake wa precision kama sikosei je ule haukuwa udaku? au ni uonevu tu.

  Besides kama umemwona ni member mpya muelimishe vizuri na si kumshambulia kihivyo

  JF we are One BIG family peace 2 all
   
 10. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2008
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  if i am not mistaken, in this forum we are supposed issues related to celebrities, sasa kama you discuss about JK and others how they misuse funds and staff like that, what is the difference with this issue????

  hasa unaposema JF imfanye nini, Kwani JK na Mafisadi wengine, mmewafanya nini au Mnawafanya nini?

  Mi naona we kaka una lako jambo au uelewa wako ni mdogo sana.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Hapo umenena mkuu.
  Unajua ukiona mtu kuna habari ana icrash kwa khali na mali ujue kuna kitu we jaribu kufatilia mijadala mbali mbali humu ndani utaona kitu kama hicho.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Dada MREMBO una bifu na Maimatha ama Puff dady? Mtafute huko aliko umwambie...huu ni umbeya kwenda mbele....JK ni kiongozi wetu, hata hao mafisadi wengine wanasquander uchumi wa nchi....Kumlinganisha Maimatha na JK inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.....anyway endelea na visa na viroja vyako

  Ushi
   
 13. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2008
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mi nafikiri hii forum ipo kwa ajili ya kurekebisha jamii and I think the said persons are part of the Jamii, sasa tukianza kuchose who to discuss and who not to then sijui!!!!
  anyway, i think you have a right to express your opinion like the way I do.

  i dont have time for this argument na wala sitajibizana nawewe tena.

  all the best.
   
 14. K

  Kandambili Member

  #14
  Oct 21, 2008
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kinachonifurahisha, nyie wote mnaolumbana si wageni kama mimi, hamna zaidi ya miezi mitano lakini tayari mnajifanya wenyeji.

  Are there any rules regarding posting?
  Tafadhari sisi wageni tuelimishwe.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kwa kusaidia na wengine pia!

  SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

  Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

  1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

  2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

  3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi,uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

  4. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

  5. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

  6. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

  7. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.

  Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.
   
 16. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2008
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Better wash your thinking. Hapa ni discussions na sio mabifu ya kibinafsi binafsi. Kama polisi waliona hamna ishu wewe unataka kutufanya tuamini kuwa hiyo familia ni ya matapeli na manjagu walikosea? then What next. Wala siwaoni kama macelebrities kama unavyoona wewe. Hata usipoweza kutupa proof ya hayo, pia utashindwa kuaopologize kwa kukurupuka kwenye jamvi na mabifu yenu?
   
 17. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2008
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Naomba nifafanulie swala la ushahidi.
  ni ushahidi gani haswa tunaotakiwa kuleta kwa mfano ktk shutuma kama hii?

  Na pia kama kuna kiongozi katika hii forum, naomba mumtaje tumjue

  asante
   
 18. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2008
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  [Nimesoma hoja pamoja na kwamba ni ya udaku. Mimi nadhani kila mmoja ana uhuru wa kutoa amoni yake kwa yeye anavyojua au anavyotaka bila kuvunja sheria za Nchi. Uhuru huo usibugundiwe na mty yeyote (Soma katiba ya URT). Kumshambulia mtu kwa maneno ni kwa kutumia njia yeyote ni kosa kubwa sana. Mrembo alichosema ni mtazamo wake asibugudhiwa. Mimi ninachoona kuwepo na heading ya udaku au apost kwenye mada mchanganyiko.

  Kutapeli au kuchukua mali au hela ya watu au ya mtu kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni ufisadi kwa njia moja ama nyingine. Ufisadi unaweza kuwa baina ya mtu na mtu, mtu na watu, n.k. Hii ni sawa tu na waliochukua hela za EPA na walipobanwa nahisi wakaanza kurudisha. Huyu Maimatha na Mmewe nao wapo kwenye kapu moja sawa na wale waliochukua zile za EPA=
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160


  Tupo ukurasa mmoja Mazee, dada aonyeshe ustaarabu kwa kuapologize basi tuendelee na mijadala mingine endelevu....tusipokuwa makini JF itakuwa kijiwe cha udaku...hawa akina Mrembo et al...
   
 20. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145


  Ushi
  Mrembo ana haki yake ya kutuletea habari za Celebrities wetu wa Bongo.Ni mangapi hapa yakiletwa mara ya kwanza yanaonekana kama udaku ila baada ya muda yanakuja kuonekana kuwa yana ukweli?.. Kaipost mahala husika kwenye Celebrities forum wewe kuiita ya Udaku kabal hujaihakiki una maana gani?
   
Loading...