Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 2,183
- 5,259
Ukiacha skendo ya marehemu mutahaba, sijawahi sikia skendo nyingine, alipo olewa nilijua ndoa haikatiz mwaka Mmoja Chali, lakini wapiiii, ndo kwanza ananenepa dada wa watu.
Nadhani wachawi wako bize kugombanisha ili waachane na wabaki single kama wao, aseee sister nandy na zawadi Yako pliz, napenda kuona dada zangu mkitulia kwenye ndoa zenu nafurahi sana, MUNGU akutangulie dada angu, INSHAALLAH.