Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Deadline day shoking transfer Naam wakati people wapo bize kufatilia siku ya mwisho ya usajili wa majira ya baridi kwenye soka mara inaibuka taarifa bingwa mara 7 wa mashindano ya mbio za magari...
3 Reactions
78 Replies
2K Views
Kumekuwa na Inshu Moja critical ambayo inatrend Sana, Msanii wema amefanikiwa kupata mtoto Kwa mara ya Kwanza hongera kwake na Kwa mume wake. Wema Sepetu amekuwa na shida kubwa ya kupata...
5 Reactions
30 Replies
698 Views
Baadhi ya blogs za Brazil zimedai kama Andrey Countinho wa Dar young african angeitwa national team hakika ile adhabu ya jana wasingeipata. Lawama zilimuendea zaidi Maximo kwa kulileta kinda hilo...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Ile nyimbo ya shilole na jlo au kama mwenyewe anavyomuita jeniffer ropez, ni nooma mr maatope nakuletea exlusive nyuzi maana nimebahatika kuisikiliza, nyoka wote watakaa ni soooooo stay tuned...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Habari zilizotapakaa magomeni ni kwamba mtangazaji mmoja wa clouds fm na clouds tv alikuwepo siku ile zungu la unga chonji lilipovamiwa na polisi. Inasemekana na yeye alikuwa anapaki mzigo ila...
3 Reactions
82 Replies
20K Views
Anayebisha abishe tu lakini hakuna MTZ maarufu nchini Belgium kama shishi baby au shilole ambako aliangusha show kali iliyohudhuriwa na watu 28,000 jijini Antwerp kiasi kwamba haters wa huku Bongo...
0 Reactions
45 Replies
11K Views
Mwaka jana nilikuletea exclusive ya wachezaji watatu wa team ya Stuttgart ya Germany waliosimamishwa kwa kosa la kutoroka hotelini kuhudhuria show ya Diamond lakini ya leo ndio kali na kubwa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
sikiliza mwenyewe,usipolia wewe una roho ngumu
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Kingwendu: Ningepewa airtime ningekuwa level moja na Diamond na Alikiba Mchekeshaji maarufu nchini, Kingwendu amesema kama nyimbo zake zingepata promotion ya kutosha, angekuwa anashindana na...
4 Reactions
18 Replies
8K Views
MTOTO WA ZARI aliezaa na marehemu Ivan, alie kua mzazi MWENZA na diamond PLATNUM, pinto ambaye ni kaka yake na tiffah dangote, amebadili DINI na KUINGIA KWENYE UKRISTO ili hali amelelewa kwenye...
11 Reactions
25 Replies
775 Views
Anaitwa Kris Jenner, mama mzazi wa Kim Kardashian. Huenda usiamini kuwa alizaliwa mwaka 1955, bado anaonekana nadhifu sana. Mtoto yuko soft kweli, kuvunja biskuti hawezi! 😅 Anavutia kwa namna...
13 Reactions
55 Replies
1K Views
  • Redirect
Unadhani wasanii wengine wanatumia ipasavyo majukwaa na ushawishi wao kupaza sauti za wanyonge na kudai uwajibikaji kwenye jamii zetu kama alivyofanya Davido? Wakati wa maonesho ya FIFA...
1 Reactions
Replies
Views
Kinachoendelea kupata umbeya, pia nikujifunza mambo mbalimbali. Kwanza chanzo cha MNYUKANO, Diva alianza kumuongelea vibaya mitandaoni, marehemu Dida aliye kuwa mtangazaji mwenzake, hapo wasafi...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Wakuu, Haya ndugu zangu, wale wapenzi wa Sports mmefikiwa Sina shaka na Dauda ila hapa kwa Meena mmmh Mbona kuna female presenters wazuri tu (mfano Salama Jabiri) ambao wangeweza kufit hapa...
5 Reactions
14 Replies
536 Views
Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake. Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto...
1 Reactions
9 Replies
205 Views
Tukio lime tokea Jana saa mbili usiku, mwananyamala, ni muda mchacge tangu atoke kuwasalimu hapo studio, kuelekea nyumbani baadae kapigiwa simu Ngoma ina Waka. Shukran Kwa majirani, tuishi na...
8 Reactions
97 Replies
2K Views
Katika Siku ya jana rapper jay z ali achia live freestyle session katika jukwaa la roots picnic. Freestyle hiyo ilibeba jumbe kadhaa zilizo walenga baadhi ya wasanii wa hip-hop, au maadui walio...
9 Reactions
61 Replies
1K Views
Bien kutoka Kenya ameendelea kuthibitisha ubora wake katika muziki wa Afrika Mashariki kwa kutawala kwa takriban miaka sita mfululizo. Tatizo ni kwamba baadhi ya mashabiki wa Nasibu Abdul (Diamond...
2 Reactions
1 Replies
148 Views
Msanii wa muziki, Rayvanny ametangaza kuwa atakuwa miongoni mwa wasanii watakaoshiriki katika tamasha la FIFA Countdown Concert kuelekea mashindano ya 2026 FIFA World Cup, Huko Toronto, Nchini...
3 Reactions
6 Replies
425 Views
Kula chuma hiyo. Kusah Vs Aunty Ezekiel Rich mitindo Vs Jacklin Wolper Lugendo Vs Shamsa Ford Vijana wa kisambaa mmekuja kuwaje Wakati Sisi wazee wenu tulikuwa tunatambulika kwa uchapakazi...
17 Reactions
73 Replies
7K Views
Back
Top Bottom