Hongera ufoo saro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera ufoo saro

Discussion in 'Celebrities Forum' started by jack chance, Jul 12, 2011.

 1. j

  jack chance Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu dada Mtangazaji wa ITV nadhani inabidi apewe pongezi kwa jinsi alivyojitoa muhanga kutangaza habari za CDM wakati wa uchaguzi hadi sasa, amezunguka mikoa yote na viongozi lakini kikubwa ni kule kutoa habari bila kuchakachua ukilinganisha na vyombo vya habari vingine. hongera dada!!!
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mtumie kadi ya pongezi na muombe upate naye Kahawa kama si dinner!
   
 3. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Eeeeeeeeeeeeh!!!
   
 4. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kusema kweli hata mie nimemkubali walau anajitahidi.
   
 5. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Ni dhahiri kuwa huyu dada anastahili sifa kwa kazi yake makini ya kutujuza habari! Hivi ITV hawana utamaduni wa kuwazawadia wafanyakazi hodari kama huyu dada wakati wa MEI MOSI?
   
 6. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Shauri yako, watakwambia ni mchaga ndo maana haachani na CDM. Simo!
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  huwa namuita mama wa mapori, habari zake nyingi ni za vijijini saaaana na ndizo tunazozihitaji
   
 8. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Fanyia kazi ushauri wa Rev.Masa hapo juu
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nashukuru umeliona hilo! Hizi Pongezi za JF hazima maana ni kama "THANKS"
   
 10. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  asante kwa hiyo habar maana wengine tulikuwa hatujua kuhusu uyo dada
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Mzee wa ITV si mmoja wa wafadhili wa cdm?
   
 12. wende

  wende JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 715
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ata mi nishamwona huyu Dada,anajituma sana na weledi wake. Ni kweli habari nyingi anazotangaza ni za bush sana na ndo ambazo ni mhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu.
  Big up Ufoo saro!
   
 13. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hana uzalendo na cdm kama mnavyofikiri yeye amelobi cdm kila ziara wamchukue kila siku analipwa laki moja . Angekuwa anajitolea bure tungeweza kujadili ila kwa style hii yeye anaula
   
 14. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kweli ata mi namkubali sana
   
 15. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kama mustapha sabodo eeh!?
   
 16. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2013
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ufoo Saro amepigwa risasi na mchumba wake leo asubuhi. Jamaa huyo amejiua.
   
 17. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2013
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  nimeshtuka kusikia hongera wakat yu mahututi. kumbe hii habari ni ya 2011
   
 18. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2013
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,539
  Likes Received: 12,816
  Trophy Points: 280
  yuko muhmbili now
   
 19. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2013
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  ICU, akitoka huko RUMANDE tu
   
Loading...