Zay B vs Sister P

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,845
Bongo bana unaweza kutengenezewa uadui na wengine nawe ukaufanya halisi mpaka kufikia hatua ya kumchukia mtu kweli kwa kweli
Hawa mabinti wawili walichonganishwa mbaya na media uchwara..hivi Leo hii wakiwa wamepotea kwenye anga za kuvuma na wakiwa wakubwa wanaojitambua hahawazi na kujuta kwa kuchonganishwa kwa malachi ya wengine?
No Zay B na Sister P
f35aef247d6c912be21d0cea7aea1463.jpg
951393632ade9ded1b64222dd9508ffa.jpg
 
Zay b alitamba na hii
Zay B sasa yuko gado mashairi yamejaa kisado... (kumbe ndio maana alipotea! Mashairi ya kwenye kisado si chochote kwenye game)
Sister P alivuma na hii
Anakuja...Anakuja....Sister P Anakuja (Ana haki ya kupotea... tendo la kuja ni la sekunde)
 
Hahahaha
Wanaume wazee wa shughuli kipindi hiko nilikuwa na jua yuko na 'the end mwa mcotton' (yaani mwisho mwampamba).

Sasa hao kina sister P inamaana nao hawakufaidi kazi zao!!? Au walifulia tu kama mr nice
 
Zay b alitamba na hii
Zay B sasa yuko gado mashairi yamejaa kisado... (kumbe ndio maana alipotea! Mashairi ya kwenye kisado si chochote kwenye game)
Sister P alivuma na hii
Anakuja...Anakuja....Sister P Anakuja (Ana haki ya kupotea... tendo la kuja ni la sekunde)
nature aliimba Salio la verse katika kichwa chake ni dollar bilioni kumbe ndo maana bdo yupo yupo.atakua kabakiza buku saivi
 
Bongo bana unaweza kutengenezewa uadui na wengine nawe ukaufanya halisi mpaka kufikia hatua ya kumchukia mtu kweli kwa kweli
Hawa mabinti wawili walichonganishwa mbaya na media uchwara..hivi Leo hii wakiwa wamepotea kwenye anga za kuvuma na wakiwa wakubwa wanaojitambua hahawazi na kujuta kwa kuchonganishwa kwa malachi ya wengine?
No Zay B na Sister P
f35aef247d6c912be21d0cea7aea1463.jpg
951393632ade9ded1b64222dd9508ffa.jpg
74ed9057fa76bf602f46512741873f4d.gif
 
Zay b alitamba na hii
Zay B sasa yuko gado mashairi yamejaa kisado... (kumbe ndio maana alipotea! Mashairi ya kwenye kisado si chochote kwenye game)
Sister P alivuma na hii
Anakuja...Anakuja....Sister P Anakuja (Ana haki ya kupotea... tendo la kuja ni la sekunde)
 
Mpododo ni habari ingine kabisa hasa ukiambatana na hizi
Alienda kusoma,kufika kule kaolewa na jamaa aliye m-promise kumsomesha,kumbe mshikaji anjihusisha na drugs,mshikaji kala nyundo za kutosha rah P akabaki ana hange na watoto mtaani,baade Rah P mwenyewe aliwekwa ndani kwa kuwa addicts wa pombe,in short maisha Yake yalikosa ramani,.na kipaji chake alienda kukifukia huko,but kuna mda aliachia ngoma na alfa yule mshindi wa tusker project fame nyimbo inaitwa African queen
 
Alienda kusoma,kufika kule kaolewa na jamaa aliye m-promise kumsomesha,kumbe mshikaji anjihusisha na drugs,mshikaji kala nyundo za kutosha rah P akabaki ana hange na watoto mtaani,baade Rah P mwenyewe aliwekwa ndani kwa kuwa addicts wa pombe,in short maisha Yake yalikosa ramani,.na kipaji chake alienda kukifukia huko,but kuna mda aliachia ngoma na alfa yule mshindi wa tusker project fame nyimbo unaitwa African queen
Sad story nakumbuka kuisoma pahala dunia haina huruma ila pia ni funzo kwa wale wapendao makuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom