Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Freestyle na muziki ni vitu viwili tofauti katika Hip Hop, wanaoweza vyote ni wachache, Freestyler hapimwi kwa hits za studio, anapimwa kwa uwezo wa kutema mistari papo kwa papo bila kuandika...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Luda out here spitting bars. Just in case some of y’all forgot. ATL type of shit. https://youtu.be/uQ5q28o0rVM?is=rkjZJ3YiB7VoBOZ-
1 Reactions
4 Replies
99 Views
Bongo sijaona mwana Hip hop ambaye anaweza kuflow kama Jose Mtambo. Sijaona. Kama yupo mtaje wa kumshinda Jose Mtambo kwenye flow[emoji91][emoji91][emoji119] #forgive me
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Shabiki wake nimem miss sana. Nimekumbuka wimbo wake wa darasa huru Wasanii wa zamani walikuwa na ngoma kali sana ila pesa wengi hawakupata. Walipata ma promota tu
0 Reactions
25 Replies
6K Views
https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=vNFvoKjRVolsifCm Nina Masikitiko makubwa ya kumpoteza msaani wangu mkali Jose Mtambo kwa sababu ya pombe na madawa. Huyu ni msaani wangu wa pili baada ya kumpoteza...
15 Reactions
127 Replies
6K Views
Msanii wa muziki na 'dancer' nchini, Chino Kidd, amefunguka kuhusu kisa cha kusikitisha kilichomnusuru kifo baada ya kukamatwa akiiiba, tukio ambalo lilienda sambamba na msiba mzito wa mdogo wake...
1 Reactions
3 Replies
348 Views
Kuna hii kama resort nzuri sana inaitwa Oviedo. Nimeona kuna landscaping ya maana, boti, sijui farasi nk. Iko wapi hii? Nimeona mmiliki wake, Dr Ibrahim Chenza(Phd)ana mishe gani? Nataka kujifunza.
3 Reactions
13 Replies
487 Views
Mtoto Wa El chapo Ovidio Guzman Lopez amekiri kosa baada ya kukutwa na hatia kesi ya kuendesha magenge ya madawa ya kulevya nchini marekani. Ameweka wazi na kukubali kushirikiana na serikali ya...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
  • Featured
Sean Combs maarufu kama Diddy anatarajiwa kuachiliwa kutoka gereza la shirikisho la Marekani mapema zaidi baada ya tarehe yake ya kuachiwa kurekebishwa tena, kulingana na taarifa mpya...
5 Reactions
37 Replies
944 Views
Irene Uwoya anasema hatamani kabisa mtoto wake Krish kulala hata kwa ndugu yake kwasababu Dunia imearibika kwasasa. "Nikweli Kwenye Malezi ya watoto kuna muda tunakosea ila mimi siwezi kupenda...
11 Reactions
62 Replies
1K Views
Picha ya Gigy Money na Mtangazaji Gadner G Habash Yazua Utata.... Mrembo Gigy Money Anaesifika kwa Bongeo la t***o Bongo ameweka picha kwenye page yake ya Instagram na kuandika maneno haya...
6 Reactions
188 Replies
53K Views
Donald Trump amefikisha miaka 80. Alizaliwa June 14, 1946.
7 Reactions
7 Replies
197 Views
Hatimaye mkali katika tasnia ya sanaa nchini Wema Isaac Sepetu leo usiku amevishwa pete na jamaa kutoka machozi band anayekwenda kwa jina la Mwinyi na kudhihirisha ukisema chanini wenzako wanasema...
3 Reactions
76 Replies
13K Views
  • Featured
Wakati wa maonesho ya FIFA Countdown Concert yaliyofanyika jijini Los Angeles, msanii maarufu wa Nigeria Davido alivutia hisia za wengi baada ya kuvaa koti maalum lenye ujumbe "Bring Them Home" na...
17 Reactions
45 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ndani Kuna mpaka maji ya kandoro anapewa mke wa tajiri anywe, hahaaaaaa ila hii dunia hii Sasa hapo mgerasi kama MIN-me akiiitazama...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Fikiria MC Pilipili anauwawa kama kuku mchana peupe. Mlinyamaza Gen Z wakiuawa sasa ona yanayoendelea. Tukemee Uovu, tupone.
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Awali ya yote nitangulize angalizo kwa vijana ambao maturity stage imewakuta miaka hii ya mitandao ya kijamii. Itabidi msome kimyakimya huku mkiwa mmeshika peni na karatasi kuchukua notes. Huu...
162 Reactions
2K Replies
241K Views
Jana Hassan Mwakinyo Ilibaki kidogo wamuue ulingoni. Akakimbia round ya tisa. Kuna mwamba anaitwa Michel Soro uko kamdunda hatari . Next time wawe wanafungana miguu kama hivi mtu asikimbie kimbir...
9 Reactions
13 Replies
421 Views
Hatimaye mwenyezi Mungu ameamua kujidhihirisha wazi kupitia kwa aliyekuwa beautiful onyinye miaka ya nyuma na mrembo aliyependwa sana na watanzania. Wema Isack Sepetu wakati wa huko nyuma aliwahi...
34 Reactions
171 Replies
4K Views
I salute you kinsmen. Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana...
10 Reactions
106 Replies
4K Views
Back
Top Bottom