Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,322
- 9,424
Tukio lime tokea Jana saa mbili usiku, mwananyamala, ni muda mchacge tangu atoke kuwasalimu hapo studio, kuelekea nyumbani baadae kapigiwa simu Ngoma ina Waka.
Shukran Kwa majirani, tuishi na majirani zetu vizuri ndugu zangu, anadai hasara inakadirwa milioni mia, hakuna kifo mpaka sasa kilicho ripotiwa.
Mungu amjalie katika wakati huu ngumu.
==========
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Barnaba amechapisha video zinazoonyesha tukio hilo la ajali ya moto, kisha akaweka ujumbe usemao: “Uchungu mkubwa sana ninaoupata kutoa taarifa kwamba studio zangu za (High Table Sound Entertainment Company Ltd zimeungua moto usiku huu ulioanza saa 2:30 kamili, nilitoka kwenye shoo yangu ya Malkia wa Nguvu Arusha na baada ya kufika nilipitia ofisini kwangu na kusalimia, kisha nikaenda nyumbani kwa takribani dakika 15.
Nikiwa huko ndipo nilipopigiwa simu kuwa kuna moto unawaka”“Mungu wangu wa mbinguni, nakushukuru kwa hili, naamini unanipitisha kwenye njia sahihi daima, nimetoka kufanya renovation wiki mbili zilizopita kwa gharama kubwa na muziki ndiyo kazi yangu, sehemu hii inategemewa na Vijana wengi, moyo wangu unaumia, nimelia sana kwa uchungu na nimepoteza nguvu kabisa”“Nasikitika kusema HQ yetu imekuwa majivu, asante Mungu kwa baraka zote ambazo nimezipokea na nitaanza upya, najua kazi yetu ni ngumu, lakini maisha yanatufundisha na nimepokea hili kama funzo.