Watanzania na SWANGLISH kwenye usahili...!!!!aibuuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania na SWANGLISH kwenye usahili...!!!!aibuuu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Chalii Yangu, Feb 28, 2012.

 1. C

  Chalii Yangu Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nini hiki sasa, si bora uongee lugha moja kuliko kuchanganya lugha hivi....

  Mkasi - S02E02 with Eddie - YouTube

  Jamaa kachemka na hakueleweka kabisaa kwa wengi wetu, arifu siku nyingine ukihojiwa ongea lugha moja tu
   
 2. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mpwa umetupa full kipindi badala ya kutuwekea kale kakipande? ntaangalia nikiwa home baadae
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sio wote wanajua swahili in fully na pia naamini wapo wanojidai
   
 4. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mbona zamani alikua anakipiga kile pure kabisa?!!
  MP.
   
 5. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  jamani acheni kufatilia mambo ya watu kihivyo,so what if anaswanglish,who doesn't do that kwa vijana,stop hatin.
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Watajijua wenyewe na hashuo lao...
   
 7. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kuchanganya Kiswahili na Kiingereza ni dalili ya utanashati, ustaarabu, na usomi.
   
 8. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ueleweke basi ktk kuchanganya kwako, kuna watu wanacode mix na kucode switch hadi inaboa yaan mmh!
   
 9. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  mtu mwenyewe anaonekana kama pilau tu...sasa makucha hayo anatengenezwa ya nini? kunata kwingi full broken tu
   
 10. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada naona hujamtendea haki huyu kijana...nimeangalia clip nzima Big Up kwa sana...Wengi wetu tunadhani kuongea kiswanglish ni kujidai..sidhani kama huyu kijana alifanya kwa lengo hilo. Mstaarabu na amejieleza vizuri kabisaaaaaaaa...nimeipenda hii..Eddie uwe ni mfano wa kuigwa kwa wanachuo wengi kuna kitu umeeleza ni muhimu sana kwa wale wote wanaojiunga na vyuo...
   
 11. k

  kisukari JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  kazidi jamani mmh.au ndivyo anavyoongea tangu zamani?maana mimi simfahamu
   
Loading...