Mimii ni Geooorge Marato wa I.....T....V........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimii ni Geooorge Marato wa I.....T....V...........

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Amavubi, Jan 16, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  Jamani huu jama huwa simuelewi, huwa anajifanyisha au??
   
 2. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni style yake ..kwa mimiinapendeza sana.............
   
 3. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 818
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kwakweli huwa na change channel kabla haja maliza kusema wa aiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiteeeeeeeeeeeee veeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hizo ni swaga kukuvutia kesho umtegee kwa shauku.
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hiyo ndo style yake mkuu! Anajulikana hata kwa watoto!! ukimuuliza mtoto atakuambia, waaaaa I.T.V
   
 6. s

  shalis JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni stail yake mbona ipo poa tu
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mie huwa namuona kama Duh!
   
 8. s

  sawabho JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Vipi kuhusu Reinfred Masako.........Mwenye ndoo hayaa..........mwenye plasitic hayaa............., Mwenye kijiko hayaa........
   
 9. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Nahisi akiwa anasema hivyo na shingo huwa inapinda kidogo na macho huwa amefumba au kurembua. :lol::lol::lol::yawn:
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,128
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Mimi Ningekuwa Reginald Mengi ningesha mtimua Kazi long time ago.
   
 11. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  hahahahhaaha aiseee!!
   
 12. salito

  salito JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Ah ha ha ha ha ha ha amavubi umenifurahisha sana kumbe huyu jamaa anakera wengi eeh???hata mama yangu anakerwa sana na style ya jamaa...ila me naiona ipo sawa tu....ah ha ha ha
   
 13. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mie ananikosha khasa....
   
 14. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Hisia potofu..
   
 15. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Ndo maana we co mengi maana riziki yake huyo jamaa ipo hapo ITV afu we unataka umtimue??
   
 16. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  It is absurd kwa yule kusema Geoooorge Maaaraaatu wa Iiiitv. It is ridiculous. Anafanya hivyo labda kuwafurahisha watu wanaokunywa machicha.
   
 17. s

  sawabho JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Mungu alifahamu hilo kabla ya kukuumba, ndio maana hukuwa Reginald Mengi. Ukiendelea kuwa na roho mbaya kwa watu wengine kama hivyo, atakunyang'anya hata hicho alichokupatia.
   
 18. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  "Word"
   
 19. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  nimekulenga nini? hayo ni mawazo yangu haiwezekani mtu wakati unaripoti unaongea kawaida then kwenye hitimisho unaleta swaga; na swaga zote huwa zina vitendo vya ajabu ajabu waangalie masharo uharo wote swaga zao na vitendo vyao au yule sharo milionea "eemama"!!! then utakubaliana na mimi. Na mimi najua G. Marato kama akisahau kuweka hizo swaga anaongea poa. ila akikumbuka dah! jiandae kumalizia I-----------T----------------V.

  Halafu kuna yule mwingine mdada huwa anaripoti kaskazini Tanga, Kilimanjaro nimemsahau jina yeye swaga lake ni TBC "1" mkazo, nukta.
   
 20. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Ha ha ha ha
   
Loading...