p frank yupo wapi huyu jamaa alikuja dar na bwembwe nyingi

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
huyu jamaa alikuwa anachukua nyimbo za ma underground na kuwapa tmk alikuwa anazarau sana na studio yaki ya mawazo yupo wapi huyu mtu ?
 
huyu jamaa alikuwa anachukua nyimbo za ma underground na kuwapa tmk alikuwa anazarau sana na studio yaki ya mawazo yupo wapi huyu mtu ?

Hhahahha!!!ushamba kitu kibaya sana!matumizi ya internet utayazoea na dar utaizoea mpaka unayemuuliza utamjua....producer wa kijijini kwenu unataka kumfanisha na p funk!jipange...
 
Hhahahha!!!ushamba kitu kibaya sana!matumizi ya internet utayazoea na dar utaizoea mpaka unayemuuliza utamjua....producer wa kijijini kwenu unataka kumfanisha na p funk!jipange...
Kaka yako au shemegi yako
 
Kaka yako au shemegi yako

Sasa aliyekuja kwa mbwembwe dar ni wewe au huyo p frank?hhahaah!!haya p frank week end njema najua mida hii mnasubiri DCM muende coco beach au dar live imefanya coco muisuse?p frank camp oyeeeeee!!!
 
Pfunk alifungwa mwezi uliopita miezi sita baada ya kukamatwa akivuta majani barabarani
 
iz id zinazofanana shida kweli kumbe ni p frank ! Mi mwenyewe nilifikili yule jamaa anayechoraga ramani zisizoeleweka mwili mzima.

mkuu unaweza ukakuta ni p funk ndo anamuulizia ila kwakuwa muanzisha thread mjini bado mgeni jina linampa tabu!!!!hamna mkali anayeitwa p frank labda mpiga ngoma huko kwao manerumango!!!
 
mkuu unaweza ukakuta ni p funk ndo anamuulizia ila kwakuwa muanzisha thread mjini bado mgeni jina linampa tabu!!!!hamna mkali anayeitwa p frank labda mpiga ngoma huko kwao manerumango!!!

nishukulu uwepo wako mkuu lasivyo ningetoka kapa !
Ktk tathnia ya gemu la tz ili jina mwenyewe nimelikuta hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom