Izzo B asema yeye ni mtu makini asingeweza shiriki uhuni wa 'Antivirus Show'

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
938
125
msanii anayetamba na kibao maarufu kwa jina la "NAONGEA NA RIDHI ONE" Kutoka jijini mbeya amekashifu harakati za mh. Sugu alipoulizwa kwanini ameshndwa kuonesha support kwa kushiriki show za antivirus kama walivyofanya wenzie Isanga familiy.
Majb aliyotoa ni kwamba hawezi kushiriki show ambazo ni za kihuni kwa kuwa yeye ni mtu makini na hatokaa ashiriki kamwe.
 
kayasema wapi?acha kumchonganisha mnyamwezi wangu na manigga wa vinega!!!!
 
msanii anayetamba na kibao maarufu kwa jina la "NAONGEA NA RIDHI ONE" Kutoka jijini mbeya amekashifu harakati za mh. Sugu alipoulizwa kwanini ameshndwa kuonesha support kwa kushiriki show za antivirus kama walivyofanya wenzie Isanga familiy.
Majb aliyotoa ni kwamba hawezi kushiriki show ambazo ni za kihuni kwa kuwa yeye ni mtu makini na hatokaa ashiriki kamwe.

nataka source pliiz
 
Dogo hapo umenena, vinega ni uozo mtupu wala usijiihusishe wewe ni mtu makini na una future. Waache wapambe nuksi waendelee kumlamna miguu Sugu
 
Vinega is just a bunch of looser in da game
Nilisikiliza antvirus zote mbili na kuona ni uhuni tu, hata kama unadai haki sio kivile
 
Mkuu bora umesema wewe ... Eti wenyewe wanadai Ile ni hip-hop.. ****** mtupu
 
Izzo bitch!!Hamnazo!

kinega utamjua tu!!!!!!basi hapo mwenyewe unajiona mjanja!mzee wa hip hop au siyo muhuni msela yote wewe!hufagilii mademu wala nini wewe gangstar tupac mwenyewe kwako mchumba!!!hahahhahahahaha.........
 
ndo tatizo la wabongo. single moja tu wanavimba vichwa na kuona washamaliza kazi.
SUGU ANASALITIWA NA ANAO WATETEA.
 
Back
Top Bottom