Sifa za kuwa Celebrity

tumia majina ya mastaa wa nje kama ambavyo Sintah anavyojiita JLO,Mboni Misimba anavyojiita Kim Kardashian,jack wolper anavyojii Amber Rose na kadharika.... HAKIKA UTAKUWA CELEB.
 
Wa TZ hawana formula, wengine wanapaizwa hata sijui wamefanya nini
 
kuwaaaaa na kashifaaa nyingiii..uwandikwe kwenye makorokocho gazetii,tembeaaa nusu uchiiii,kuwaaa na mabibi au ma bwanaaa wengi,au jitangazeee unaukimwiii
 
tz kuna mastar wengi kuliko maceleb.celeb ni hasheem thabít,manji,watoto wa bakhresa,nk.
Celeb lazìma uwe star lakinì si kila star ni celeb.íts a lifestyle
 
tumia majina ya mastaa wa nje kama ambavyo Sintah anavyojiita JLO,Mboni Misimba anavyojiita Kim Kardashian,jack wolper anavyojii Amber Rose na kadharika.... HAKIKA UTAKUWA CELEB.

au awe choko kama bob junia.
MP.
 
Its not easy kuwa a celeb in bongo! Ila ukitaka kuwa star, act bongo muvi...

Kwa mbele just make huge amounts of money!
 
kwa ninavyojua,celeb ni combination ya popularity na fame,uwe unajulikana na watu wawe wanataka sana taarifa zako,kifupi wewe ni maarufu,sasa hapa bongo wengi tulionao ni celebs,suala la ustaa ni jingine kabisa,star ni yule aliyeng'ara katika analofanya,na ni katika masuala ya entertainmen na michezo,mastaa hapa bongo ni kama lady jay dee,juma kaseja n.k.
 
tz kuna mastar wengi kuliko maceleb.celeb ni hasheem thabít,manji,watoto wa bakhresa,nk.
Celeb lazìma uwe star lakinì si kila star ni celeb.íts a lifestyle

hao watoto wa bakhresa inawezekana mnawajua hapo mjn tu huku uwanji hatumjui hata m1.
 
Naona mnamaanisha ukitaka kuwa Sharo wa ukweli basi uwe hivi!
sharo_baro_vs_cyrill1.jpg
 
Back
Top Bottom