Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani. 1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi...
2 Reactions
164 Replies
19K Views
Akichezesha taya na mwandishi wetu wa GPL, platnum aka sukari ya warembo alikiri kwamba anatoka kimapenzi na mchuchu huyo(Mamaa wa kidoti), diamond alisema anampenda na hakuna kitu kitachoweza...
0 Reactions
94 Replies
16K Views
Leo ni B'Day ya Mwanaharakati Sugu, pia ni B'Day ya Bwana Ruge..... Teh! Teh! Pia ni B'Day ya Kazi Duniani (Mei Mosi).!.......Nipo kweye kona naangalia ladha ya hii tamthilia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu vinega ni hatari tupu hawa jamaa, sijui ule usuluhishi uliishia wapi? Nimesikiliza "preview ya michano", Baadhi ya mistari inasema " tuna nguvu ya hoja, wao wanajikongoja, wamefungua...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
wadau Diamond anazidi kufunika ndani ya bongo...muda sio mrefu atashuka na helkopita stejini,umati ni mkubwa sana hapo Darlive. Inaonyeshwa Live na Clouds tv.
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu, pamoja na uzee wangu... huyu dogo Diamond namkubali sana, i ahve all his albums,videos na pia review Nimesikiliza album ya mwisho, ni nzuri sana, lakini nahisi imemiss BOB JUNIOR touches...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naskia huyu jamaa ametua Clouds.Binafsi naona Atleast wamepata mtangazaji maana wana watangazaji wachache sana, wengi ni waropokaji na wauza sura.Huyu ni mmoja wa watangazaji mahiri wasioweka...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jambooo,masanja kaua kinomaaa Je je jambooooo!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Was mahatma gandhi gay? Gandhi old and young He was a bisexual (showing physical attraction both towards men and women). Mahatma Gandhi was bisexual and left his wife to live with a...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
jamani huyu mtoto mbona mtata sanaaa........... huyu binti mashalaa amejaaliwa si0 siri. kwa wale msiomfahamu mchek kwenye video za Masogange-Belle 9 au Magubegube ya barnaba,,,,kwa wanaoMJUA...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakulu Heshima Mbele, Ni kawaida yangu kipindi cha sikukuu kuwasiliana na watu walioko nyumbani kujua khali ya maisha ikoje na kuwatumia japo pesa kidogo kwa ajili ya kusherekea sikukuu ya...
0 Reactions
45 Replies
12K Views
Jamii yetu imekuwa ikivutwa na hisia zaidi kuliko kuangalia uhalisia wa jambo. Tumekuwa tukitumia pesa nyingi sana kwa kuchangia shughuli za harusi, mazishi, happybirthday part, kumtoa mtoto...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
By Judith wambura(Lady Jaydee blog) JUNE 28, 2009....NILIWAHI KU POST HIVI SATURDAY 27TH JUNE 2009, MZALENDO PUB NA SWEET EAZY Diana Mapromise, Dj Venture, Jide na Rachel Temu (Wifi) Mzalendo...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Namuona hapa ch5 ana-play instruments mbali mbali za kimuziki.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nadhani wana Jf wenzangu mnamkumbuka El Sahaf, Yule waziri wa propaganda wa the then Iraq, Alikuwa akisema ati! Wanajeshi wa Iraq wanawazunguka NATO wakati nyuma yake kuna vifaru vya NATO na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani huyu dogo kama ameishiwa mistari aseme tumkabidhi kwa aliye juuu
0 Reactions
21 Replies
5K Views
...huyu jamaa anakipaji cha kuchekesha...hatumii nguvu nyingi...ana maneno yasiyokwisha...."bata hata awe mchafu vip, atataga yai jeupeee" moja ya maneno yake jana kwenye KILI MUSIC AWARDS...
6 Reactions
164 Replies
18K Views
Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo...
1 Reactions
172 Replies
20K Views
MAAJABU! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, kaburi la aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great' limeanza kuweka nyufa na kutitia ikiwa ni siku 5 tu...
2 Reactions
55 Replies
16K Views
Jamani leo si ndo tarehe kama aliyozaliwa 'mchumba wa kanumba'? Sio mbaya kama tukimpa pongezi zake za kutimiza miaka 17<18 ya 'mafanikio' sijui huko 'fox river' alipo kuna jf!
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Back
Top Bottom