Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.

1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?

2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?

3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?

Hongera mwanangu Lulu kwani akina Sofia na Biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha.

Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( Master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe.

Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.

kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.

Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa Posta - Dar.

Mtetezi wako ni Muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)
 
Mhhhhhhh!‎؛‎ mwaka huu tutasikia mengi: wengine wanasema ni matatizo ya watu kuongozwa na nguvu za strong secret societies, wengine wanasema ni matokeo ya manyanyaso btn couples, wengine wanasema ni matokeo ya mfumo dume, wengine wanasema ni matokeo ya adverse effect yaa blood sacrifices.................., hebu tutazame kesi za Kobe Bryant na ile ya mwanariadha wa kenya!, hebu tutazame na vifo vya akina Aliya bila kusahau the jackal- huenda tutapata taswira ya kutuongoza. Nawatakia Paska njema.
 
Mmmh unauwakika lulu anaonewa ? Tusubiri tamko la daktari,polisi na mahakama
 
Hivi lulu alikuwa mke wake kanumba? Au ni kacheche tu. afu we mama ni selfish sana..hivi angekuwa amekufa kaka ungeyasema haya?
 
Heshima kitu cha bure,sasa umeandika mengi lakini huenda usieleweke.
 
Kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?
2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?
3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?

Hongera mwanangu Lulu kwani akina Sofia na Biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha. Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( Master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe. Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.

kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.

Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa Posta - Dar.

Mtetezi wako ni Muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)

Huna hata HAYA, kwanini usiache wafiwa wapate nafasi ya kumalizia majonzi yao. Kwani mateso ya wanawake wengi duniani yanaanzia kwa Kanumba na yataishia kwa yeye kufariki? Unajuaje kama huyo binti kaonewa au kweli amefanya kosa? Hebu wape heshima ndugu na marafiki wa Kanumba kuhani msiba uliowatokea. Kila jambo na wakati wake ndugu.
 
What kind ov moza r u?do u ve children?if yes how would u fil if dz happen 2 ur son?how would Kanumba's mother think about u 2 her son n family?USHINDWE!!
 
Kanumba has already paid for it, Lulu got nothing to pay for. Kanumba was more than changudoa and this explains why he suffered all this.
Si wakati wa kuhukumu, tuwaache wenye majonzi waendeleee na msiba. Kama yeye kahukumiwa kwa hili basi wangapi wangepona? Bila shaka hata wewe huwezi pona, maana si mtakatifu. Kila mtu anafanya kosa fulani katika maisha ambalo lingeweza kutoa uhai wake.
 
Mmmh unauwakika lulu anaonewa ? Tusubiri tamko la daktari,polisi na mahakama

Hao wataalamu uliowataja si ndio walewale wanao idhinisha vifo vya bahati mbaya kama kile cha kaka Dito kwa suka. Kama ni Ikulu ndiyo hiyo hiyo inauingilia mhimili wa mahakama na polisi kwa kutoa kibali cha mtuumiwa wa mauaji ya mbele za watu- ili apewe dhamana. Kwa sheria isiyokuwepo. Na cha kushangaza Jaji mkuu anasema rais haingilii uhuru wa mahakama! sijui jaji huyu hakusoma katiba?
 
Back
Top Bottom