Ushauri aliopewa Lulu kwa Lady jaydee 2009 akiwa na miaka 14! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri aliopewa Lulu kwa Lady jaydee 2009 akiwa na miaka 14!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Independent Voter, Apr 12, 2012.

 1. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  By Judith wambura(Lady Jaydee blog)

  JUNE 28, 2009....NILIWAHI KU POST HIVI
  SATURDAY 27TH JUNE 2009, MZALENDO PUB NA SWEET EAZY

  Diana Mapromise, Dj Venture, Jide na Rachel Temu (Wifi) Mzalendo Pub pia kuna flowers za kufa mtu kama Machozi tu

  Sweet Eazy palikuwa hivi, kutoka kushoto ni Jackie, Bijoux (from Norway), Mimi, Devota Diva na Flower jingine jina nitawatajia jumatatu maana najua watu wametoa machoooo

  [​IMG]
  Young and Pretty movie star, mimi namuita Mainda kutokana na jina alilopewa kwenye mchezo wa redio wa wahapa hapa...Anatesa sana kwenye anga za cinema hapa Bongo. Yumo pia kwenye video yangu ya wimbo Shamba..inapatika you tube....Naona atakuwa amekuwa mkubwa tayari ndio maana anakuja Machozi Band...tuwalinde wadogo zetu jamani maana mjini kuna manyang'au

  (Hapa LULU alikua na miaka 14 tu lakini yuko club usiku na nani? hatujui)

  Flowers, Flowers, Flowers and more Flowers all over
  NA COMMENTS ZILIKUWA KAMA HIVI:
  [​IMG] Mija Shija Sayi said...Jide nguo imekupendeza.
  June 28, 2009 2:09 PM
  [​IMG][​IMG] Dada said...Mrembo bijoux så pen du er! wakilisha mama.Umetoka mwaaaaa.
  June 28, 2009 7:17 PM
  [​IMG][​IMG] www.kilinyepesi.blogspot.com said...u look poa sana
  June 29, 2009 4:49 AM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...jide hako katoto kamekua hadi kanakuja machozi!!!!!!!!!!!!!mh mi langu jicho na hicho kivazi akina fataki watamuacha??? .ALL IN ALL JIDE NA FLOWERS WOTE MPO JUU
  June 29, 2009 10:00 AM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...haya bijoux nakuaminia huku juuu natasha
  June 29, 2009 12:07 PM
  [​IMG][​IMG] Bijoux said...Jide,acha utani huyo mtasha ni rafiki tuu nimeamua kumtoa kidogo aje machozi band.
  June 29, 2009 2:25 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...huyo ua mwingine anaitwa Doreen Bwire,
  June 29, 2009 3:04 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...maulanga ama mwaulanga (frm ujiji C&F)

  kweli kapendeza
  June 29, 2009 3:37 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...jamanikatoto kamekuwa alafu kazuriiii
  June 29, 2009 3:58 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...mainda ni mzuri sana na bado ni mdogo hakupaswa kuwepo machozi band kutokana na umri wake jide umekosea kusema ashakua mkubwa laiti angelikua mdogo wako ninauhakika usinge mruhusu kuwa hapo.kama unampenda mshauri atulie nina imani ataheshim ushauri wako
  June 29, 2009 4:24 PM
  [​IMG]
  [​IMG] Jide said...ANONY wa 6:24AM, nashukuru kwa kunifahamisha kuwa Mainda hajawa mkubwa kiasi cha kufaa kuja Machozi Band, lakini mimi najuaje?? ndio maana nikasema tuwalinde wadogo zetu... maana watoto wa siku hizi maumbile yao hayana tofauti sana na watu ambao wamekwisha fikisha umri wa miaka 18. Nakubaliana na mawazo yako 100% na ninakuomba sana tushirikiane kwa hilo katika hali yoyote ambayo unaiona sio sawa, sikuwa na nia mbaya anyways..Ila watu wanapokuja band nashindwa kuelewa nani mkubwa nani mdogo, na kwakuwa matangazo yote yanasema mtu ambae ana umri wa chini ya miaka 18 haruhusiwi sehemu za hivyo, na imagine wote wanaokuja Machozi Band wana umri zaidi ya miaka 18. unless wawe wana fake umri wao
  June 29, 2009 7:39 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...Jay dee mbona unaeleweka kabisa? Umetuambia tuwalinde wadogo zetu
  June 29, 2009 10:44 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...Jide sio siri nimezidi kukupenda kwa uwezo wako wa kuweza kujizuia na hasira.Najua kuna baadhi ya maoni yanaudhi na hata kukera kiasi kwamba utatamani hata mtu umtukane.Hata siku moja sijaona umemjibu mtu kwa nyodo pamoja na comment nyingi za ajabu wanazokupatia.Na hii ndio njia rahisi ya kukomesha mjinga,wenzetu wanasema dont argue with ****** b'coz they will drop you down to their level.Kuna dada mmoja kwenye blog yake huko amekuwa kituko kwa kujibishana na watu kiasi kwamba utashindwa kuelewa yupi chizi yupi mzima.Najua anapata hasira sana ila duh,hizo nyodo zake mh!
  Anyway sitaki kukufananisha na mwingine maana wewe utabaki kuwa wewe siku zote,ila ukweli lazima niseme hii iakuongezea heshima na wapenzi zaidi.
  June 30, 2009 1:35 AM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...Jide umekua sana kiakili uongo si kazi, ila zamani ulikuwa unatuudhi sana na majibu yako ya hasira hasira, sasa naona umeelimika. hivo ndio unatakiwa uwe unajibu fans wako. big up sana ila hukawii kuharibu, maana mgema ukimsifia si unajua tena? Tembo hulitia mâji ati
  June 30, 2009 9:12 AM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...Lady jaydee sielewi kwanini watu wanasemaga wewe ni mbaya, ila sijawahi kuona picha zako nzuri kama hizi. kumbe binadamu wana wivu sana na roho mbaya pia, unanifurahisha kwa ujasiri kama mwanamke. uwe unatuwekea picha ivo ivo, ata mimi nimechukua nyingine nime print nimebandika chumbani kwangu
  June 30, 2009 9:46 AM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...I was at S-E as well and think there were SEVERAL "U18s"! Even at midnight!
  June 30, 2009 2:04 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...hako katoto kadogo kwa umri lakini kana mambo ya kikubwa c unamuona hata mavaz yake na hata movie anavyoact unajua kashakuwa mkubwa so muachen tuu ajichanganye maeneo kama hayo.ila jide hata wale wanaopokea kiingilio wawe wanawacheki chicks kama hawa under 18
  June 30, 2009 5:59 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...jamani mi huyo dj venture kweli ameshine rangi alizovaa zinavutia sana,yuko juuuuuuuuuuuu
  June 30, 2009 7:04 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...nimekapenda ka mainda ana boyfriend?
  June 30, 2009 11:24 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...DUH HAKA KATOTO INABIDI NINYI MLIONAKO KARIBU MKATUNZE SANA WAKINAFATAKI WASIKAPITIE NA KAPUNGUZE MISOSI NAONA KAJITOMBO HAKOOOOOOOOOOO KANAKUJA.
  July 1, 2009 2:55 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...Hivi Jine huyu mtoto ni Mainda kweli? huyu si ni Elizabeth ambaye pia alikuwa na kipindi cha watoto ITV na ameact movie kadhaa za kibongo na michezo ya kuigiza. hebu nieleweshe kwani Mainda nimjuae mie anakwenda kwa jina la Mwanaidi Suka au siku hizi Ruth Suka kwani amekuwa mlokole
  July 1, 2009 3:27 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...Pia Mainda tunayemfahamu anaweza akawa 28yrs kwa sasa na sio U-18 kama huyo kwenye picha.
  July 1, 2009 3:30 PM
  [​IMG]
  [​IMG] Nicky Mwangoka said...Wimbo una funzo safi sana Jide, umetumia fasihi nzuri sana. Hongera. Sasa huyo Mainda wako Loh, kweli anahitaji ulinzi mkali.Umetoa kazi nzuri.Keep it up and Big up sana Jide
  July 2, 2009 4:04 AM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...wewe anon unayeuliza kuhusu mainda labda hujasoma vizuri Jide amemuita Mainda kutokana na jina alilotumia kwenye mchezo wa radio wahapa hapa.
  July 2, 2009 1:13 PM
  [​IMG][​IMG] Anonymous said...kWELI wadau hako katoto ni kadogo na kanaonekana kameshaanza michezo fulani,nimeshakaona mahali pa watu wazima kamechangamka fulani mie roho ikanima kama vile mdogo wangu,nenda katembelee Bongo star link utamkuta yule DJ CHOKA sijui kapiga picha naye eti niko na lizy yaani kaonekana kama mtoto wake,na uyo DJ anaona kama vile msichana mkubwa wa saiz yake.yaani limeonekana lijibaba na katoto.
  Mtoto Mainda sijui Lizy kama unasoma hapa achana na mambo hayo ya kujirusha kwa wakubwa soma kwanza,kama unapenda ustar wa kucheza filamu basi nenda Chuo cha Bagamoyo kajiendeleze kama uko sekondari basi endelea maana unaoneka hata sekondari haujamaliza,haya mambo yapo na utayakuta
  July 2, 2009 1:48
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Wahenga walisha sema sana kumbe kalikuwa kanapuuzia kache kale jeuri yake
   
 3. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kweli walishamwaribu zamani san huyu binti..
   
 4. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kweli walishamwaribu zamani san huyu binti..
   
 5. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Akikumbuka wenzie akina JDee wajilia bata wao taratibu kama zamani kwenye hivyo vijiwe anavyovimiss! Walahi lopango hata akitoka wazimu akosi! Poor kid!
   
 6. A

  Anthony albert king Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh! Huyo lulu siyo totozi tena akitoka huko lupango no kushiney tena jdee kazaneni kula bata akitoka ndio hatajua kuwa lupango n noumar.
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Asiyefunzwa na Mamaye.........
   
 8. Type

  Type JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  unajua huyo dem anahic yeye ndo mwasisi wa hivyo vijiwe.kumbe vilikuepo isitoshe amejiona kama anauwezo wa kurizisha mtu ambae ni kama baba yake anaona kashamaliza kila kitu, kumbe kina jide ndo dada zake lakin hakutaka kusikia la mkuu la mswali suna wala mswali ibada. Mtu akifanya mtihan anategemea matokeo. Nahayo ndo matokeo.
   
 9. o

  orial kinega Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  so hapa ni kama Kanumba alikuwa anakabaka mana kana 17 sasa au vip wadau....!
   
 10. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Katoko ni kakubwa kenzetu hako......
  sijui baba yake alikuwa wapi muda huo asidai mwanae ni mdogo.
  Nani angeacha ya bure, ufundishe wenzako wafundisha
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kalikuwa kanafurahia kenyewe...
   
 12. andate

  andate JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  na hapo haijulikani alianza nako lini.
   
 13. andate

  andate JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  haka katoto mtakalaumu wee mpaka basi. lakini ukweli utabaki palepale wazazi wake hawaku-play part yao vizuri katika malezi. mtoto yeyote akilelewa kwa stahili hiyo ataaribikiwa tu. kawaida mtoto tangia anaanza kutembea anatakiwa azoeshwe na afundishwe kwa vitendo kuitambua mipaka yake. ukimuangalia huyo mtoto anaonekana asingekuwa mgumu hivyo kumlea vizuri .sijui ni kwa nini hao wazazi waliamua kumkabidhi mtoto wao alelewe na bongo-movie. inasikitisha.
   
 14. Mama Yeyoo

  Mama Yeyoo Senior Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You are soo right...hJuna binadamu anayejilea...mtoto yoyote iwaye yule anapokuwa anaanza kuelewa nini anaruhusiwa kufanya na nn haruhusiwi kufanya kutokana na walezi wake...hapa simaanishi wazazi namaanisha wallezi bila kujali km ni baba au mama...

  huyu mtoto amelelewa na mama yake peke yake na inaonyehsa mamma somewhere along the line aliacha wasanii wamlee Lulu bila ufuatiliaji wa karibu kutoka kwake mwenyewe mama mtu...

  napata picha kuwa kwa kustahili ilipaswa mama awe beneti ma mwanaye hata alipokuwa anaenda huko kwenye mazoezi ua kuigiza...otherwise ni km kumkabidhi fisi bucha...huyo mtoto ameshakuwa abused hadi basi,ukiona tu vile vituko vyake yeyote mwenye kuelewa watoto atajua kuwa she is acting as an abused kid,with rebellion...

  watu wakubwa na heshima zao mtaani walikuwa wanampumulia toka mdogo so from there being a kid she was she discovered"the power she had over men" and she used it to her advantage...
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,542
  Trophy Points: 280
  Kamefanya mambo mapema. angekuwa na akili sasa kangekuwa tajiri fulani. hela aliweka wapi au walimfa nyaga tu kama kiburudi sho.
   
 16. p

  pctarimu New Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie ni mzazi wa 2 totos. A 23 yr old (already married) & a 17 yr old (Form4 -under my roof). Better listen to a guy like me. Becos Experience is the most rare profession. It goes like ths:
  Kwa kifupi, hili ni somo kwa wazazi. Wazazi wako responsible for what goes on around them totos. Hadi anatimia 18, ni mzazi ndo nitam'blame. Mtoto sioni sabab ya kumlaumu at all. Nimejifunza from live experience thru members around my community. Tumtie moyo mtoto Lulu, na sio kumsema vibaya. Tujifunze kuwalea wana wetu ipasavyo. Ningekua na mamlaka ningetoa directive kua hakuna ruksa kuzaa kama hujapitia MASOMO YA MALEZI...ili ujue responsibilities zako zinaanzia wapi na kuishia wapi na za mtoto pia. Nimejifunza haya masomo BSF. As for Lulu, niseme hivi: life goes on. Cheer up, Jesus loves u. Your problems did not come to stay, but they came to pass.. just like all other problems in life. Muda mfupi sana ujao utakua uraiani ukichangia mazuri. Amen? & i close my case ryt here.
   
 17. Mama Yeyoo

  Mama Yeyoo Senior Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I second the motion....Again,well said ndg
   
 18. Mama Yeyoo

  Mama Yeyoo Senior Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I cam imagine na huo utoto na hao waliokuwa wanampumulia hapo awali,kalikuwa kanadanganywa kanaingizwa chumbani kanapumuliwa kwa nguvu,then kanabembelezwa kasiseme...the way i see it she later developed a sense of getting something out of what wS done to her...And then thats when a monster(no offence Lulu) was born (frankeinatein style)....but as someone said,if i had a chance to talk to her i would really encourage her to start over and move on..no matter what people think of you,God is the one who created you,loves you and if you really want to change, then it wl happen if you really work on it...
   
 19. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Wazazi wake walifurahia umaarufu wake. Sasa wanaujutia.
   
 20. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  yah 17 years na uzoefu wa kubeba magogo (komba), Huyo ni mamaako mdogo sio under 18
   
Loading...