Antivirus vol. 3-Vinega waendeleza bifu na Ruge

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Wakuu vinega ni hatari tupu hawa jamaa, sijui ule usuluhishi uliishia wapi?
Nimesikiliza "preview ya michano", Baadhi ya mistari inasema
" tuna nguvu ya hoja,
wao wanajikongoja,
wamefungua kesi, wakiwa wamevaa pensi,
wakaenda kuifuta wakiwa wamekodi tax",

michano inaendelea

"mnajifanya watoto wa mjini,
mnakimbilia polisi....
kama kweli wahuni mbona mnaenda mahakamani,
haki gan mnayotafuta?...."

NB: Naona hii vita bado mbichi kabisa, na jamaa wana hasira sana na Ruge...pia wamempa salamu Nchimbi kwamba kwenye vikao hawatimbi...

Hiyo preview unaweza kuipata HAPA
 
p33n lawyer namkubali sana,achana na madame john eti analambaga koni shukuru tupo bongo ingekuwa mtoni bullet ungepigwa.
 
Wahuni bana...baada ya kuimba mambo ya maana watoke kimaisha kama wenzao akina diamond au fid q wao wanaona bifu ndo sahihi...me binafsi sijawai skia nyimbo ya uyo anaejiita peen lawer ikifanya poa redion....na bado wanataka haki..kweli shule muhimu
 
Wakuu vinega ni hatari tupu hawa jamaa, sijui ule usuluhishi uliishia wapi?
Nimesikiliza "preview ya michano", Baadhi ya mistari inasema
" tuna nguvu ya hoja,
wao wanajikongoja,
wamefungua kesi, wakiwa wamevaa pensi,
wakaenda kuifuta wakiwa wamekodi tax",

michano inaendelea

"mnajifanya watoto wa mjini,
mnakimbilia polisi....
kama kweli wahuni mbona mnaenda mahakamani,
haki gan mnayotafuta?...."

NB: Naona hii vita bado mbichi kabisa, na jamaa wana hasira sana na Ruge...pia wamempa salamu Nchimbi kwamba kwenye vikao hawatimbi...

Hiyo preview unaweza kuipata hapa...

http://www.swahilioriginaltz.com/wp...IEW-YA-MICHANO-KWENYE-ANTIVIRUS-VOL-III-2.mp3

kama unaweza kuwashauri, basi washauri waache kuvuta bangi. itawasidia sana!
 
kama unaweza kuwashauri, basi washauri waache kuvuta bangi. itawasidia sana!

vinega ni kikundi cha wahuni ambao wengi wao wana stress za kupoteza umaarufu,kutopata show,kutopendwa na watoto wazuri hapa mjini,nguo kutowapendeza na kutonukia!!!!!hao wamejaliwa mitusi tu!
 
Sugu ndo kawatumia na kuwatupa....hili ishu sugu anaonekana snitch tu
 
Ina maana hawa Vinega hawana nyimbo zaidi ya kuwaponda Clouds media? mimi binafsi siwapendi Clouds lakini nilitalajia Vinega sasa waje na nyimbo au Albuma za ukweli kuonesha uwezo na Redio station nyingine watazipiga bila matatizo yoyote, otherwise huu wanaoleta sasa ni utoto, sikubaliani na upumbavu huu.
 
Unajua bana hata wakati vyama vipya vya siasa vimeanza ccm hawakushtuka...ila sasa wanajuta wanachokiona..mimi nalifananisha hili na clouds....mnasema vinega wavuta bang nk lakini radio kama times fm ndio wale wanaowadhamini na kuwaweka hewani mara kwa mara, na hata redio nyingine zina piga music wa vinega bila kubagua...mimi mwanzoni sikuwa naelewa vinega wanataka nini ila baada ya kuingia ktk industry ya music sasa nawaelewa tena na wasupport...tena na amini ipo siku hao clouds wataaibika kama magamba....!!! Vinega forever, vinega with no apology...!!!
 
hivi ni jinsi watu wakikosa mambo ya maana ya kufanya swali la kujiulza ni nini watakacho archieve cha msingi kwa njia hii na matusi yasio na msingi hawa jamaa hawana akili uwez kupambana bila malengo na vita iciyo isha na umaskini upo pale pale ***** kabisa hawa
 
Ukombozi hauji kirahisi wale wasioamini kwamba Antivirus ni wakili watafunuliwa cku moja na wataelewa nini magenge yanataka!endeleeni kuscan na kudelete virus yeyote anayeleta us**ge!
 
Ukombozi hauji kirahisi wale wasioamini kwamba Antivirus ni wakili watafunuliwa cku moja na wataelewa nini magenge yanataka!endeleeni kuscan na kudelete virus yeyote anayeleta us**ge!

watu walishaelewa ila mjinga m1 akaona yeye ndo kila kitu kabla hajatekeleza kitu alichoombea support ya umma akabadilisha mlengo wake sasa unataka watu waelewe nini tena !
 
Back
Top Bottom