MUUZA sura anayetamba kwenye video za Kibongo, Agness Jerald ‘Masogange' juzikati alinusurika kuaga dunia baada ya kuchanganya pombe na dawa aina ya Cephalaxin kutokana kuudhiwa na...
Action star and noted tax hater Wesley Sniper turns 50 years old on Tuesday. But we're guessing he won't be getting a very nice cake. Snipes, who became a huge star in the '90s with roles in...
Namuulizia huyu dogo anaetumia jina la usanii kama mr blue,yuko wapi na anafanya nini?maana longtime sana sijamsikia tangu atoke na ile ngoma yake ya tilalila.
Nasib Abdul Juma Diamond.
STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu na kichwa kinachotingisha katika Bongo Fleva, Nasib Abdul Juma Diamond wamenaswa wakiwa beneti mkoani Kigoma, Ijumaa lina...
Huyu jamaa sijui ana matatizo gani, kila siku ni ugomvi kwa kwenda mbele.
Aligombana na Sugu, akagombana na O Ten, akagombana tena na P Funk, amegombana na Madee, amegombana na kina Ditto...
maandamano aliyofanya jana jose chameleon ubalozi wa tanzania nchini uganda yamemuwezesha kupata passport yake,passport amepata kupitia Air Uganda inayofanya safari zake entebe to dar.
sasa hiv...
Kwa kuangalia Mwenendo wa Filamu Zetu na Jinsi wasanii wetu ambavyo hawaangalii Mbele na wanachojali ni Pesa pekee.
Na hata siku Moja hawajaangalia Wenzao wanafanya nini katika Soko kuanzia la...
In unconfirmed news tumesikia kwamba Chameleone and his crew's passports have been detained by Eric Shigongo akimtaka ampe dola 3500 aliyotapeliwa na waganda wasiofahamika.
Kwa mujibu wa...
Nasikiliza clouds fm dina marios anauliza watu wanapenda harufu gani mbaya...wengine wanasema wanapenda harufu ya uke,,kinyesi, petroli na kadharika...mimi najiuliza hii inafaida gani kwenye...
Kwa moyo mkunjufu nawaomba mmpigie PREZZO kura.
Mpigie kura katika hii link VOTE PREZZO
Ama ingia katika wesite http://www.bigbrotherafrica.com kisha uchague jina lake halafu ubofye kwenye...
Russell's gonna get tired of looking at her and drop her pretty ass
Damn let me get some money, man...I'mma have hella concubines.
M&S lingerie model Noemie Lenoir falls for rap mogul...
Nimewasikiliza gerard hando na paul james leo na power breakfast wakiongea an tom mlambo wa super sports aiseeeeeeee.......hawa jamaa wapewe ufadhili wakanoe kingreza savanna inter schools.....
KESI ya msanii wa fani ya filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu Lulu, imeahirishwa hadi Agosti 20 mwaka huu, kutokana na Jaji anayeisikiliza, DK Fauz Twaib, kuwa na majukumu mengine.Akiahirisha...
huyu demu tokea alivyumbuliwa na H. Baba kwamba anamtuhumu H.Baba hajui mapenzi kumbe anataka aliwe tiGO katulia tuliii ka maji ya mtungini vile,kumbe mombasa raha eeeh?,tujuze yakheeeee
Msanii wa toka kundi la vichekesho la Original Komedi, Mpoki amedondosha pini lake jipya liitwalo 'Mademu'.
Wimbo huo ambao unazungumzia tabia za mademu tofauti tofauti kutoakana na sehemu...