Yuko wapi Mr Blue?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Namuulizia huyu dogo anaetumia jina la usanii kama mr blue,yuko wapi na anafanya nini?maana longtime sana sijamsikia tangu atoke na ile ngoma yake ya tilalila.
 
kumbe jirani....mi nipo nyichoka....basi ukishampata blue....ulizia na TID yupo wapi.....wamepotea sana hawa....

me niko hapa kiabakari,ukishaambiwa walipo hao watu uni PM!
 
Namuulizia huyu dogo anaetumia jina la usanii kama mr blue,yuko wapi na anafanya nini?maana longtime sana sijamsikia tangu atoke na ile ngoma yake ya tilalila.
mr blue yuko busy analea amekuwa baba...ataki kutelekeza kama walivyo vijana wengine..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom