Wema, diamond wanaswa kigoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wema, diamond wanaswa kigoma

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Gumzo, Jul 20, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]
  [​IMG]Nasib Abdul Juma ‘Diamond’.
  [​IMG]
  STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu na kichwa kinachotingisha katika Bongo Fleva, Nasib Abdul Juma ‘Diamond’ wamenaswa wakiwa beneti mkoani Kigoma, Ijumaa lina data kamili.
  Chanzo makini kilichopo mkoani humo, kimepenyeza habari hiyo kwa paparazi wetu kwa njia ya simu juzi, ambapo kilisema ukaribu wao uliamsha hisia kwamba huenda wawili hao wamerudiana.
  “Wapo wote huku Kigoma, kwa Diamond ni sawa maana yupo na wasanii wenzake wa Kigoma All Stars, sasa Wema amekujaje? Kwanza siyo mwanamuziki, lakini pia siyo mtu wa Kigoma ni wa kutoka Tabora,” kilieleza chanzo hicho.
  KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwani hawa malimbukeni wakirudiana kosa liko wapi wakati wote ni open cheques? Kinachosikitisha ni kwamba vijana hawa wameuvaa ulimbukeni kiasi cha kusahau kuwa kuna kesho. Utoto mwingine!
   
 3. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  even i am star
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  kwani wamemuibia nani?
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kwani wapendanao wakirudiana kuna tabu gani? Hivi hujawahi kusikia watu wametalikiana halafu wanaamua kurudiana na kufunga ndoa upya? Elizabeth Tailor aliolewa mara 7 na kati ya hizo zilikua ndoa mbili na watalaka wake kwa wakati tofautitofauti. Ndiyo habari za mastaa hizo!!
   
 6. kapolo

  kapolo JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwani kuna uajabu gani kuwa pamoja..kuachana sio ugomvi
   
 7. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Hawara hana talaka...
   
 8. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nashangaaa, sema wewe kiaz mie muhogo nina mzizi
   
 9. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,170
  Trophy Points: 280
  Mimi Nimeipenda hii

  [​IMG]
   
 10. p

  prophecy Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman hawajazilipia waachen watoane majasho. Kiukweli ngoma ikivuma sana hupasuka paaaaaaaaaaaaaa
   
 11. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi bila kuwasema hawa watoto huwa mnajiskia kuumwa????????????????
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jamani kwani kuna tatizo ukiwa mtu wa Tabora ukaonekana Kigoma?????zito wa Kigoma yupo Dodoma,Bashe msomali yupo DAR,RAGE MSOMALI YUPO DODOMA,KINANA MU-ETHIOPIA YUPO TANZANIA,,,,,,
  wema kuonekana kigoma si jambo la ajabu mdau
   
 13. Mitchell

  Mitchell JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  achaneni nao waendelee na maisha yao
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  magazeti ya udaku haya lol
  walikuwa kikazi
   
 15. mndwadage

  mndwadage JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukimtaka mda wowote unampata.!
   
 16. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mwacheni mtoto wa tandale afaidi bhana!kha! wakati anauza genge la nyanya alikua hapati vi2 kama hivyo.
   
 17. C

  Cipro Senior Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mtalaka hatongozwi
   
 18. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kwa raha zao..
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Boonge la teknolojia. Distillation ya ukweli!
   
 20. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,170
  Trophy Points: 280
  Nilisikia imeua watu wengi Kata ya kigogo baada kunywa hicho kinywaji
   
Loading...