Dina marios na harufu ya uke....live clouds fm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dina marios na harufu ya uke....live clouds fm

Discussion in 'Celebrities Forum' started by sikiolakufa, Mar 13, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nasikiliza clouds fm dina marios anauliza watu wanapenda harufu gani mbaya...wengine wanasema wanapenda harufu ya uke,,kinyesi, petroli na kadharika...mimi najiuliza hii inafaida gani kwenye jamii? Hawa wasichana nadhani wamechanganyikiwa.....na asitokee mtu hata mmoja aniambia niache kusikiliza clouds...radio ni kioo cha jamii...​
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Dah kweli watu wamepinda mbaya, hivi huwa anakula ganja eeeh
   
 3. s

  sawabho JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Dina hana kosa, mwenye kosa ni huyo aliyesema aina hiyo ya harifu.
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Uke una harufu mbaya? thats sound so general to me..
   
 5. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  the topic itself does not suit ethical guidelines in broadcasting, bad taste
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Ukifanya kazi pale Clouds kipindi unaandaa mwenyewe Edit ya vipindi unafanya mwenyewe wala hupati shida mifano mizuri sikiliza vipindi vya kina Hando ni kina Kibonde! ukitaka kusikiliza vipindi vya Clouds unatakiwa uwe mwehu!
   
 7. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mimi nilikuwa sifahamu kumbe kuna watu wengine wanapenda harufu mbaya? Kweli maisha ni kupanga na kupanda ni kuchagua.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Elfu mbili na kumi na mbili dunia ni yako chaguo ni lako
   
 9. Z

  Zeddy Zeddy Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnataka redio zote waongelee siasa.....hilo ni swala la kijamii,tc tru kwenye society kuna wa2 wanavutiwa na harufu mbaya fulani....cjaona wehu wowote katika kuadress hyo matter....
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Holy shit!

  Say what now?
   
 11. G

  Greard Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama ni mtu mzima una watoto na unapenda kuwalea na maadili tafadhali sana ogopa kusikiliza clouds na kuangalia ze comedy orijino wakati upo na watoto.
   
 12. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  loh asara!
   
 13. kaole

  kaole JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndallo acha kupotosha watu, watangazaji wa Clouds Fm wanao waandaaji wa vipindi vyao tofauti na upotoshaji wako. Power Breakfast kinaandaliwa na Jimmy Francis, Jahazi linaandaliwa na Simon Simalenga, XXL muandaaji ni Soud Brown, Leo Tena inaandaliwa na Moshi Habib na vingine vingi vinawaandaaji wake.
   
 14. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania wanajulikana kwa ujinga,muuliza swali alikuwa na mantiki,lakini wasikilizaji ni wehu!MTU ATI UNAPENDA HARUFU YA KINYESI!!HIZI BANGI JAMANI!
   
 15. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mna moyo! Bado mnasikiliza hiyo redio? Nawahi bar.
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  sometimes wanatoka bar thn wanaendesha vipindi ndo tatizo
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmhhh harufu ya uke wakati kongo wanapenda ile mbaya..
   
 18. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Yaani Tanzania tungeingia vitani..tuchapane kwanza ndio tuanze maisha upya ingekua safi sana!
   
 19. Zurii

  Zurii Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa wamechanganyikiwa maana utaulizaje kitu kama hicho sijui wamekosa mambo ya kuongelea au inakuwaje. Yaani kuna mambo kibao ya maana ya kuongelea wanaishia kuonge aupumbavu na hiyo inaonyesha jinsi gani upeo wao wa akili ulivyo finyu.
   
 20. g

  gambalanyoka Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mie harufu ya uke naipenda sana tu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...