Afande Sele ana matatizo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande Sele ana matatizo gani?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kiranja Mkuu, Jul 25, 2012.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa sijui ana matatizo gani, kila siku ni ugomvi kwa kwenda mbele.
  Aligombana na Sugu, akagombana na O Ten, akagombana tena na P Funk, amegombana na Madee, amegombana na kina Ditto waliokuwa wote kwenye kundi la Watu Pori, juzijuzi huko Morogoro kafanya fujo na kujikuta yeye na rafiki yake kipenzi 20 Percent wakitiwa ndani.
  Afande Sele sasa kagombana na huyo aliyekuwa rafikiye 20%.
  Tumshauri huyu mwenzetu ili ajirekebishe, ili aweze kutimiza ndoto zake za kuwa MBUNGE
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Huyo Baba Tunda mbona kisha pigwa chini na mkewe kwa sababu ya mibange yake?
  Bange zimemkataa
   
 3. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni hili jani...

  marijuana-leaf.jpg
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Kiranja Mkuu, unataka kupigwa? Nasikia jamaa siku hizi anapiga tize na Cheka mzee wa ngumi jiwe
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Afande kaishiwa ki muziki sasa itikadi zake kazihamishia kwenye ngumi
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,759
  Trophy Points: 280
  ganja + ugoro
   
 7. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Kwa jinsi alivyo mchafu lazima mke akimbie[​IMG]
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mwezi mtukufu jamani huu! Ggghhhrrr!
   
 9. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5,249
  Trophy Points: 280
  Usichokijua nizaidi ya usiku wa kiza kinene!
   
 10. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,186
  Likes Received: 1,905
  Trophy Points: 280
  King'asti bhana.. Baada ya Mwezi mtukufu kama kawaida?
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Ana pepo la ugomvi
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Alianza vizuri lakini kadri siku zinavyokwenda anazidi kuporomoka,anahitaji kutulia kwa kweli, apate couselor!
   
 13. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Hajielewi elewi. Muziki umemshinda sasa anataka magazeti yaendelee kumwandika, that's why anatumia ngumi na ugomvi ili aendelee kuandikwa
   
 14. S

  Saskatchewan Senior Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamaa anaongea sana, anaweza kujaza fuso na pumba zake!
   
 15. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  anavua hadi nguo uyu rasta mchafu..
   
 16. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Ndio mwimba kwaya wa dhehebu gani huyu wakuu?
   
 17. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,759
  Trophy Points: 280
  hapo anajiona kapiga pamba ajabu we acha tuu
  mi ningekimbia jumla asee
   
 18. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bange,...eti aende bangeni tena itakuaje mi sipati picha..
   
 19. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Wenye matatizo wanaogombana na selemani msindi ila jana yuko poa anasimama katika maslahi yake!big up afande bangi ni jani tu kama majani mengine!
   
 20. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
Loading...