Chameleone azuiwa kuondoka nchini na Shigongo kisa deni!?

Chenge

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
1,073
377
Chameleone2.jpeg


In unconfirmed news tumesikia kwamba Chameleone and his crew's passports have been detained by Eric Shigongo akimtaka ampe dola 3500 aliyotapeliwa na waganda wasiofahamika.
Kwa mujibu wa Chameleone yeye anasema saga hilo limetokea jana wakati anajiandaa kuondoka nchini mida ya saa nane kasoro ambapo mmoja wa wafanyakazi wa Shigongo alimuomba passport yake na za wenzake wawili aliokuja nao ili watoe photocopy baada ya hapo akaambiwa kuwa Shigongo amechukua passport zao ili alipwe hela aliyotapeliwa mwanzo kiasi cha dola 3500 ambazo alitoa kama deposit ya msanii huyo kuperfom.

Chameleone aliendelea kusema kuwa kwa upande wake hahusiki na utapeli huo kwani watu ambao anamhusisha nao amewasikia kupitia kwa msanii wa kirundi Kidum ambaye ndiye aliyemkconnect na watu hao, Chameleone alisema ‘mimi nilishangaa Kidum aliponipigia simu na kuniuliza kama nakuja tz, nikamuuliza mbona sijui kitu? akasema sii hela umepewa kupitia meneja wako, nikamwambia meneja wangu hajapokea pesa yeyoye! Sasa nilivyofuatilia nikagundua watu ambao walimtapeli walimwalika Shigongo Kampala na kumwambia kuwa ni managers wangu na kitu walichofanya ni kutumia gari kama langu aina ya range rover nyeupe ambayo mimi natumia bila number plate wakamwambia kwamba wanahusika na mimi ndio maana ametuachia gari lake. Kuona hivyo Shigongo akatoa deposit nusu ya pesa ya shoo ambayo ilikuwa iwe dola elfu 7 baada ya hapo jamaa wakakata mawasiliano sasa Shigongo ananihusisha vipi na watu ambao mimi siwajui amwambie Kidum arudishe kwa sababu yeye ndiye aliyempa contact ya huyo meneja feki'.
Mpaka tunaandika habari hii hatujapata uhakika kama Chameleone bado yupo nchini kwani alitakiwa kuondoka mida ya alasiri. Pole sana kaka Shigongo kwa kukumbwa na utapeli huo, kwa kweli wakati umefika wa kuwa na booking agencies zinazoeleweka na kuaminika!

Source: MPEKUZI Blog



 
Shigongo kama ni kweli umejitia aibu, fanya fasta kurudisha pasi za watu, umejichukulia sheria mkononi na utaharibu reputation yako. Waliokutapeli ni vijana wako, take care:yawn:
 
kweli town sio majengo.... shigongo naeeeee? ujanja woooteee?
 
Huyu wamtapeli tu make amezid kutupeli watz na vichwa vyake vya habari vya uwongo kwenye magazeti huku ndani uongo mtupu
 
Utalipwa hapa hapa kwa kutumia magazeti yako kuchafua watoto wa watu. Mbona wa kwako huwaandiki huko kwenye magazeti yako?
 
Akubali yaishe kaingizwa choo cha kike na wajanja wa mjini KLA....

Mambo ya kujifanya mjuaji na mbabe ndo hayo sasa yanamtokea puani bazazi huyu!
 
Amepatikana na yeye!! Hila wamemlamba hela ndogo sana wangemkomba kama dola 350,000 ndii ingekua poa!
 
Katika Ukursa wake wa Facebook kaanza kuandika hivi:

DR. JOSE Chameleone



I AM VERY DISAPPOINTED!

I WAS HIRED BY GLOBAL PUBLISHERS A TANZANIAN COMPANY, TO PERFORM AT THE NATIONAL STADIUM ON THE 7th July 2012.

I PERFORMED AS THE CONTRACT AGREED! ON SUNDAY 8th ONE ERIC SHIGONGO THE CEO GLOBAL PUBLISHERS CONFISCATED MY PASSPORT ALLEGING MY MANAGER HAD SWINDLED HIS 3500$, WHICH IN REAL SENSE WAS SWINDLED BY A KAMPALA CONMAN CALLED GEORGE.

I WAS ASSISTED BY THE UGANDAN EMBASSY IN DAR EL SALAAM, WHO GAVE ME A TEMPORARY DOCUMENT TO RETURN ME HOME.
ON RETURN TO UGANDA I HUNTED FOR THE CONMAN, ARRESTED HIM AND HANDED HIM OVER TO POLICE, WHO FREED HIM ON CONDITIONS I DON'T KNOW!

I EXPLAINED TO THE TANZANIAN AMBASSADOR AT THE TANZANIAN HIGH COMMISSION IN UGANDA FOR ASSISTANCE BUT SEEMS IN VAIN.

I HAVE UPCOMING PERFORMANCES IN

SOUTH AFRICA, ENGLAND,BELGIUM, NORWAY,SWEDEN, CANADA ETC!

SO IS ERIC SHIGONGO ABOVE THE LAW TO KEEP MY PASSPORT ILLEGALY?

AM I LIABLE TO HIS NEGLEGANCE THAT HE TRUSTED A CONMAN?

IS IT FAIR THAT AN UNAUTHORIZED TANZANIAN CITZEN CAN KEEP MY PASSPORT FOR OVER A MONTH?

I NEED ADVICE


Akaendelea hivi:

ERIC SHIGONGO AM BOUND TO MAKE YOU AN EAST AFRICAN CELEBRITY GOR TAKING THE LAW THE WAY YOU WANT! WE ARE PLANNING EAST AFRICA UNION AND U ARE PROMOTING YOUR SELFISH UNION! Damn
Akaendelea tena:I AM AT THE TANZANIAN HIGH COMMISSION IN DEMOSTRATION FOR THE CONFISCATION OF MY PASSPORT BY A TANZANIAN ILLEGALY ERIC SHIGONGO I NEED MY FREEDOM TO TRAVEL AS A UGANDAN!

I NEED MY PASSPORT BACK ASAP!

FOR GOD AND MY COUNTRY UGANDA.NA TENA:
Woken up! AM NOT GOING TO GO BACK TO MY HOUSE! AM GOING TO SLEEP AT THE TANZANIAN HIGH COMMISSION UGANDA UNTIL MY BROTHER FROM TANZANIA SURRENDERS BACK MY PASSPORT TO UGANDA GOVERNMENT THAT OWNS IT.HE IS HOLDING IT ILLEGALLY- IF NO BODY IS THERE FOR MY RIGHT AND JUSTICE LET ME ASK FOR IT MYSELF!

I AM DEMONSTRATING AGAINST INJUSTICE
AND WANT ERIC SHIGONGO TO RESPECT MY COUNTRY!

FOR GOD AND MY COUNRTY I DECLARE.




 
mhhhhhhhhhhh sasa ngoja tusubiri naupande wa pili washiringi ndipo tuanze kuchangia la! anaeujua upande wa pili wa hiyo coin basi atu dadavulie
 
Back
Top Bottom