Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Taratibu nipo kitaa mara naona kibao"TUNAUNGANISHA FREEMASON"Duh naeaza hawa ndo wakina Jay z.wanatafuta watu?siku hizi superstar uking'aa na kawimbo kako au kamovie,ukapata viela we ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu jamaa naona ameamua kumjibu dada Jide baada ya kumwuliza Yahaya anaishi wapi, tukiacha mengineyo yote nahisi kama hii ngoma imetulia kiaina. Kama ulikua hujabahatika kuisikia, hii hapa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maisha ni safari ndefu sana jamani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The traditional wedding of Peter Okoye and Lola Omotayo is going on right now at the Ark event centre in Lekki, Lagos. 4th pic is kate henshaw with anita isama, paul okoye's fiancée.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Afande Sele The'King wrote: Hakuna kusanda,hakuna kumbwanda,mbele kwa mbele makamanda,vua gamba vaa gwanda kisha kaza mkanda, wanashuka sisi tunapandaaa,,,,Leo tunaanza kuandika hisyoria mpya ktk...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Diamond anaweza kuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania kufanya video na director mkubwa wa Nigeria Clarence Peter ambaye ameshafanya video nyingi za wasanii wakubwa nchini Nigeria na Africa kwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hongera diamond keep it up!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
1. Makambas- mwam, kaka J 2. kanumba and all bongo movies 3. A. Mbowe- Mchumi mzuri wa Benki ya Dunia na ni binti aliyefocused 4. Lundenga 5. Cynthia M. 6. Public relations wote wanaouza sura kwa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Hii nimeipenda, Msanii maarufu duniani,anayeendesha maisha yake kupitia muziki, JUSTIN BEIBER ameipangisha nyumba yake iliyopo los Angeles,marekani ambayo ina thamani ya dola 10.8 million(zaidi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kila kukicha wanakuja na mapya ma undergrounds...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nashindwa kuelewa hii show ya Wema sepetu! Kipndi kipokipo tuh, alafu hao watu wa TX, I mean wanaorusha matangazo wa hapo studio wanakata kata kwa kuingiza matangazo bila hata mpngilio! Kipndi...
0 Reactions
105 Replies
19K Views
Story na Uwazi, Mwandishi Elvan Stambuli. ' Mufti wa Tanzania shehe Shaabani Simba alialikwa katika kalamu ya Sikukuu ya Idd ya Rais Jakaya Kikwete Ikulu na kumtuma msaidizi wake Naibu Mufti wa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kama angekua hai basi jana angekua anatimza miaka 31,ila wauza unga wakakatisha uhai wake na tukaporwa kipaji chetu bora kabisa kutokea hapa tz. Upi ni wimbo wako bora toka kwa cowizy au line...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo kwenye kipindi 'pendwa' cha mchana XXL(Clouds Fm) walikuwa wanazungumzia uwekaji wa malengo na ufanikishaji wake katika mwaka 2013 na umuhimu wake.....baada ya kuhoji watu mbalimbali ikiwemo...
0 Reactions
68 Replies
20K Views
Niskuchoshe usinchoshe mie ngoja nikupe data nzima jinsi huyu kijana anavyofanya vitu vyake ili asiishiwe umaarufu 1.Show zake ni unique kwa kutumia dancers mtu huboreki pia show pia jamaa awapo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
(chorus) Nataka swagger za hakuna matata Kama nataka flows pia matata Nataka peace hakuna matata Kama unataka beef pia hakuna matata (verse1) Bado nachana kama nina miaka ishirini Kuna time mpaka...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanamuziki nyota wa muziki wa kizazi kipya usiku wa kuamkia Jumatatu alionja joto ya kiwe baada ya kutekwa na kusurubiwa kisha kunyang'anywa kila kitu pamoja na gari yake. Mwanamuziki...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
by money stunna Well we'd be cheesin' this hard too if we were worth over a billion dollars combined. FORBES just released the 5 wealthiest hip hop artists. And the usual suspects are...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Leo nimeamkia Youtube nikajikuta nimetua kwenye huu wimbo wa vichwa vitatu vya ukweli: Solo Thang, Jay Mo na Soggy Doggy (Simu Yangu) Ingawa wimbo unakaribia kufikisha miaka 10 lakini bado naona...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom